Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

kuna order kila mwezi trip 2 nje kutengeneza milioni 15 kwa mtaji huo.mwenye order milioni 5,wewe milioni 5,na mm milioni 5 tugawane kila mwezi.ukiona inalipa na una 12 million cash nitafute tupige kazi.0625648094
 
Kazi gani
 
Biashara siyo rahisi km udhaniavyo kauze na wewe uone Kama itaingia Hiyo laki 7
 
Biashara kichaa hii fafanua ijulikane
 
mkuuu chakula kinaweza kukupa hiyo hela ukiwa sehemu sahihi... ila nyingine zote ni ujanja ujanja utatapeliwa tu
Naunga mkono hoja, nafanya hii tena kwenye ka site kadogo tu ila inanitoa fresh na nilianza na ka mtaji kadogo.
 
Biashara siyo rahisi km udhaniavyo kauze na wewe uone Kama itaingia Hiyo laki 7
Ungesoma convo za nyuma ungeelewa,.kuna mtu alibisha kua huwez tengeneza profit ya lak3 kwa baishara ya mtaj mdogo,et had uwe na kuanzia 50mil au 60mil,mi ndo nkamjib hivyo aende akamuulize edo pale
 
Mpaka kutengeneza Hiyo laki tatu kwa siku jiulize Hiyo biashara kawekeza muda wake kwa kipindi gani hujui km muda nao ni sehemu ya mtaji.
 
Mwime ndio jimbo jipya la dhahabu Kahama maduara yanatema tuu watu wanapiga pesa hatarii!
 
Mpaka kutengeneza Hiyo laki tatu kwa siku jiulize Hiyo biashara kawekeza muda wake kwa kipindi gani hujui km muda nao ni sehemu ya mtaji.
So whats the point dada,..nambie,.what r u arguing abt..perhaps skuelew,.
 
Huwez kuaza Sasa hivi biashara ya mtaji Mdogo ukaaza kuingiza Hiyo laki tatu kwa siku tunaongopeana.
 
Mtaj mdogo kwako ni sh ngap? Maana mwenzio ame exagerate kwamba lazma uwe na 50-60mil,...sasa labda mtaj mdogo kwako ni sh ngap,.
 
Nimependa huu mjadala but nashauri mtu anapotoa wazo usiliponge kwa kejeli but jenga hoja ni vipi hiyo idea aijengi ili kumwezesha aliyetoa hoja zaidi kufunguka na mwisho wa siku ipatikane solution
 
Hatapataje experience kama ajaingia filed kupractice?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…