Superfalcon
Member
- Sep 11, 2017
- 19
- 15
Vibanda kadhaa vya M-Pesa, tigopesa, airtel money n.k. utafute na site nzuri kama karibu na vyuo au eneo lenye watu wengi wanaofanya transactions hizo zinalipa Mkuu,
Ushauri mwingine unaopewa humu no mzuri ila nawe uupime kutikana na uelewa wako pamoja na kushauriana moja kwa moja na wataalamu.
Ushauri mwingine unaopewa humu no mzuri ila nawe uupime kutikana na uelewa wako pamoja na kushauriana moja kwa moja na wataalamu.