Hii yangu ni kiduka cha nafaka tu, yaan nauza mchele,sukari, ngano, sembe, dona na soda.Mkuu na Mi nipo kwny mchakato Wa kufungua mgahawa kuna vitu muhimu nahitaji kujua VP nije pm?
Ila ka site kamezungukwa na mama ntilie kibao na hao ndio wateja wangu wakubwa.