mimi ni nomad,ila napitapita kahama kwasababu kuna jamaa zangu huko,
sasa hapo kahama hulipuka machimbo ya dhahabu mara kwa mara na watu kutoka sehemu mbalimbali wanakuja ama kuchimba au kununua dhahabu,ama kufanya biashara yeyote eneo husika kuanzia vyakula,vinywaji ama hata gest,
nipasema gest ni gest zile za either batiama turubai,watu wanakodi ardhi kwa bei cheap na kusimika biashara,hakuna vitanda ni godoro tu zile cheap na watu wanapiga hela mno,kila biashara pale inatoka labda kasoro nguo,
lakini biashara za vyakula,pombe,maji,fag,condom etc utauza mno.
Sasa nje kidogo ya mji wa kahama kuna hayo machimbo ambayo ndo sasa yako chati,wakazi wengi wa kahama mjini sasa huko ndo chimbo lao la pesa,na huko ndo unakuta watu wana mitaji midogo tu nao wananunua dhahabu,
wengine wanauza vinywaji,pombe,maji etc