Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu biashara gani inayoingiziza hiyo faida au zaidi kwa siku ni swali pana sana (too general). Inategemea una mtaji kiasi gani, na moyoni mwako unapenda biashara za aina gani. Baadhi ya biashara kwa upana wake na faida kwa siku ni kama ifuatavyo
- Nunua dala dala ndogo (Hiace au Nissan Carravan) kwa milioni 20. Kila siku itakuwa inalaza 35,000/=
- Nunua Yutong bus kwa around 100 milion peleka Arusha. Kila siku italaza around 500,000/
- Nunua Scania Semi trailer kwa 90 milioni, Peleka mizigo Zambia, Congo, Malawi, au kubeba containers bandarini. Utalaza wastani wa 200,000/ kwa siku
- Nunua mayai kitunda kwa tsh 5500 trei jitume kutafuta wauza chipsi walau kumi watakaonunua trei tatu kila mmoja kwa siku wauzie kwa tsh 6500, utalaza walau 25,000/ kwa siku kama faida
- Jiunge kukatisha tiketi Ubungo terminal, ukipata wateja 10 kwa siku utapata 20,000
- Nunua Suzuki Carry kwa 7 milion kabebe miziko masokoni, utapata 40,000 kwa siku
- Anzisha M pesa sehemu yenye mzunguko wa watu wa wastani, utapata 30,000/ kwa siku
- n.k.

yes! I think this is a great thinker ndo maana naipenda jamii forum. Thnx mkuu
kwa uelewa wa haraka juu ya biashara jibu lake la namba tano i dont think so wateja kumi kwa ubungo ambao wanalipa miambili thats uongo couse wao wanaingiza elfu mbili how came upewe 20000 au nimesoma vibaya hizo amount
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????
Bwana jitahidi kuelewa swali uckurupuke.........EeeeboNunua vinguo vya watoto vya mitumba utembeze mitaan, ila jaman kama una wazo la biashara kwa mtaj wa elfu20 naona kama unatania vile!