Ukifungua duka, sijui mgahawa, sijui pub sijui banda la chips, sijui duka la nguo nakuapia utapoteza hyo hela. Mapemaa Saa 2 Asubuhi.
All u need ni shughuli ya kufanya na kuisimamia wewe mwenyewe ambae 100% utakua una deal nayo chances ukipata 10 M nyingine mara mbili yake tena about 20 M kama hyo ndio utaitumia kufungua biashara nlizotaja hapo mwanzo tena kwa kuangalia na mazingira kwa umakini otherwise uta lost big tym my friend.
Been There Done That, For now usifanye biashara Ambayo Utahitaji Kuajiri Watu Wakusaidie Maana Hao Ndio Pasua Kichwa Watakupiga na Kukuliza, Atleast Not For Now (Kuza Kwanza Mtaji Wewe Mwenyewe) Utapata uzoefu na kujifunza mengi sanaa, Hela Ina Codes Nyingi Sana Mkuu Hasa Mtaani.
USHAURI:
Nunua Bajaj / Gari Used not more that 7 M nyingine save for emergency purposes. Register chombo uber / bolt ingia kazini huku una piga mishe za udalali mbili tatu. Utastirika Sana, Biashara zenye nature ya logistics ndio zinazo waweka sana watu mjini iwe bajaj, uber, pick up, canter, fuso yani hizi japo ni challenge ila atleast mostly kama una deal nazo wewe mwenyewe first hand.
Utanishkuru Baadae.