mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
I second you,watu wako na secrets nyingi sana hadi kupata success ila kuna watu hawajui haya mambo.Hajui Biashara Huyo Achana Nae….Mimi nimeshafanya biashara yani vitu kibao hadi nimedalalia scraper (vyuma chakavu) i seen many things.
Japo bado napambana ila ilifika muda nikiona mtu anaanza biashara yake mahali flani na ku zoom mazingira na ethics za huyo mtu i cud predict huyu mtu anafika mbali au la. Na 90% ya watu nliowa predict wata fail wali fail (Sijisifu ila ni yote kutokana na mitikasi ya ku hustle mtaani yani tafuta sana kujua vitu na misingi bora ya biashara imara ni zaidi ya kupewa mtaji 100M)
Kama kuna kitu namshukuru Mungu ni kuniwezesha kupata mtaji often wa kufanya biashara tofauti tofauti. Aisee i learned a lot.
Ukiona mtu amemiliki utajiri and yupo stable mpe heshima yake. Huyo mtu lazima yuko timamu mnoo mentally and spiritually.
Utakuta mtu ameona jamaa anamiliki Supermarket mahali na anaona wateja wanaingia na kutoka anachukulia rahisi huku anajisemea moyoni yaani na mimi nikienda kukopa mkopo wa milioni 60 nikafungua supermarket kama ile mahali nishatoboa tayari[emoji3]
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app