Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Okay world gots a lot to disappointing you.

Achana na watu focus on your goals, hawa wazee wa kichagga ni mizunguo mi natoka pia kwenye jamii hiyo ila siweki focus kwao.

Ulipofika ni stage nzuri.
Kwani wazee wetu wa kichaga najiuliza wana matatizo gani mbona kuna familia zipo vizuri wanaongea vzuri na watoto wao.

Kama wangu huyu yani hata akikuta na manzi then profile ya huyo demu aijue hapo kashapata point ambayo ataitumia popote pale .Yani sio biashara sio makazi sio chochote wao wana toa comment mbaya sijui wanataka perfection ya kiasi gani.
 
Kuna jamaa mmoja alikua yeye kila uzi wa biashara anatoa ushauri na watu wakiwa desperate hua hawawezi ona zaidi ya wanachoonyeshwa.

And then one day ikaja kesi jamaa kamtapeli mdada humu kisha akaanza mlaumu mdada kua kampa kaswende.
 
Kwani wazee wetu wa kichaga najiuliza wana matatizo gani mbona kuna familia zipo vizuri wanaongea vzuri na watoto wao.

Kama wangu huyu yani hata akikuta na manzi then profile ya huyo demu aijue hapo kashapata point ambayo ataitumia popote pale .Yani sio biashara sio makazi sio chochote wao wana toa comment mbaya sijui wanataka perfection ya kiasi gani.
Ni wakoloni na ukiritimba wa ajabu ajabu.
 
Kuna jamaa mmoja alikua yeye kila uzi wa biashara anatoa ushauri na watu wakiwa desperate hua hawawezi ona zaidi ya wanachoonyeshwa.

And then one day ikaja kesi jamaa kamtapeli mdada humu kisha akaanza mlaumu mdada kua kampa kaswende.
whuni ni wahuni tu
 
IDEAS ZA KUTOKA KIMAISHA KWA MTAJI MDOGO


1.Nunua pikipiki ya Dhamana ukaanza biashara ya Boda boda.
2.Fungua saluni
3.Mradi wa tofali za kuchoma
3.Fuga kuku
4.Somea ujuzi wowote
5.Mradi wa kushona nguo
6.kijiwe cha kuchomelea
7.kijiwe cha milango na madirisha ya aluminum
8.Mgahawa Mdogo
9.Kijjwe cha kahawa
10.Mashine ya kupukuchua mazao mfano mahindi, mpunga, mtama, karanga, nk
11.Mashine ya kukata nyasi, kupalilia
12.Kuuza mbuzi, kuku,
13.Biashara ya mazao.
14.kukodi bus, daladala na kuzisimamia upate cha juu
15.Kutengeneza sabuni, sanitizer, handwash,
16.Kutengeneza unga wa lishe
17.Kilimo cha umwagailiaji water pump, mbegu, madawa
18.Jiko la supu
19.kutengeneza mkaa mbadala
20.Kuuza chips
21.Kukaanga kuku
22.Kutengeneza vitafunio
23.Kuzalisha ethanol
24.kufuga poko mbuzi katoliki
25.Kufungua kilabu cha pombe za kienyeji
26.Kufungua vijiwe vya Kukusanya ubuyu maporini yakitimia magunia unaleta mjini
27.Kuuza juice
28.Kuuza juice ya miwa
29.Kijiwe cha kukaanga samaki jioni
30.Shughuli za upambaji kumbi
31.Kusambaza bidhaa majumbani
32.Kusambaza bidhaa basic needs kwenye maduka ya vijijini yaani unanua mjini unasambaza kwa oda viduka vya vijijini.
33.Kuzunguka minadani kuuza nguo za mitumba, vyombo, nk
34.Kufungua tuition center
35.Kufungua grocery
36.Kuwa wakala wa bidhaa za viwandani
37.kijiwe cha kukusanya taka za plastic, chuma,oil chafu na tairi chakavu.
38.Kufungua genge la kuuza basic home need
39.Kufungua ofisi ya kupiga nguo pasi.
40.Ofisi ya kutengeneza viatu na mabegi
41.Kutengeneza vyombo vya kupikia mfano, majiko, ndoo, sufuria, mifuniko, vikaangio, nk
42.Saluni ya kutengeneza kucha za wanawake
43......Jengea vyumba vitatu wazazi wako nyumba ya Bati upate baraka
44..Nunua shamba
45.Nunua ng'ombe wadogo watano kwa laki na nusu anza ufugaji.
Au nunua mbuzi anza kufuga
46.Fungua kijiwe cha kuonyesha mpira
47.duka la nguo za kupoint classic za mitumba piga pasi tundika kwenye enga
48..Ofisi za baiskeli za kukodi hapo unapata baiskeli nane
49..Duka la spea za pikipiki na baiskeli
50.Duka la dawa na vipodozi
51..ofisi ya kuchaji simu kwa sola vijijini
52..ofisi ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa
53.. Bustani za kuzalisha miche ya miti na matunda
54... Ufugaji nyuki na kuuza asali
55.. Kuzalisha unga wa muhogo
56..Direct sale yaani door to door delivery hapa unakuwa na torori na speaker unapita KILA nyumba unauza bidhaa na kuchukua oda ya nini wanataka Ili kesho uwaletee.
57.Utengenezaji pellets chakula cha mifugo,samaki.
58..unga wa lishe
59..mikeka
60.bidhaa za mianzi.
61.utengenezaji wine,
62.usafi wa majumbani
63.kuuza uji wa ulezi,mchele
64.utengenezaji mbolea za mboji na za maji.
65.utengenezaji wa vigae vya cement na vya udongo.
66.kupanda miti kwa ajili ya nguzo na mirunda
67.utengenezaji wa ndala
68.utengenezaji viatu
69.Upondaji kokoto
70.ufundi simu na radio
71.Utengenezaji mifagio
72.utengenezaji crips za Mihogo,ndizi,viazi,nk
73.Utengenezaji tambi,ubuyu
74.panda mlonge,au nyonyo,au mibono au muarobaini Ili uje uuze mafuta,au utengeneze sabuni.
75.Kutengeneza siagi ya karanga
76.Home delivery hapa ni kupita KILA nyumba na kuchukua oda za mahitaji yao then unaenda kununua unawaletea
77.Utengezaji wa vifungashio vya karatasi
78.utengenezaji mitungi,vyungu,majiko ya udongo
79.Kuwatengeneza kucha wadada.
80.Utengenezaji wa mkaa wa mianzi, makaratasi, majani,nk
81.Utengenezaji mafuta ya taa, dizeli na petrol kutumia taka plastic.
82.utengenezaji wa mikeka ya mianzi,matete.
83.
 
Ndio Maana Nikasema Toka Mwanzo Kwamba
Patience, Ethics na Discipline

Most of all is STRATEGY

Being at the right place with the right Mentality.

Grace Matters as well.
You sound like a mentor,not someone who has scratched from the ground
More theoretical and motivation than reality .
Pamoja
 
Nimeamini watu wengi hawana experience na biashara Zaid Sana wanazuona tu wala na kuanza kushauri
Huo mtaji ni mkubwa mno.

Kama upo dar nenda tegeta au jigamboni fungua duka kubwa la mabomba ya maji ya ndani na sanitari zake utakuja kunishukuru

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa Tegeta amechelewa hawezi kukimbizana na soko la pale kuna Wapemba na Wachaga pale wamelishikilia soko na mitaji yao ni kuanzia milioni 500 na kuendelea.
Labda aende ndanindani huko Madale au Goba hapo sawa.
Na hata hivyo akitaka kufungua duka la hardware kwa yeye anayeanza ni vizuri auze vitu mchanganyiko na sio vya aina moja itakula kwake.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ushauri wangu fungua CARWASH utanikumbuka siku moja is the best business ambayo mtaji wake utatumia na hiyo 10M itabaki.
Yes biashara ya Car wash na Barber shop ni nzuri sana ukibahatisha location nzuri.
Kwa sababu zenyewe hazina kuuza na kununua,unainvest mara moja tu baada ya hapo inabaki tu kulipia bills na rent mteja atakuja na nywele zake mwenyewe unamnyoa kisha analipia,same na car wash kazi yako ni kununua sabuni tu ya kuoshea gari

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya Pharmacy mchawi ni location na stock(balance and management) plus competent staffs.
Hapo kwenye Competent staffs nimepaelewa vema sana.
Ukipata nesi au mfamasia mzuri ambaye atakuwa anawapa ushauri wagonjwa dawa sahihi na kisha wanapona utawapata wengi sana,kuna wagonjwa wengine hawapendi kwenda hospitali wananunua dawa pharmacy wanatumia juu kwa juu.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
You sound like a mentor,not someone who has scratched from the ground
More theoretical and motivation than reality .
Pamoja

Ukiangalia my posts na kuzisoma na kuzielewa utanote kwamba sijai pata shida kwenye kupata kianzio cha biashara timbwili lipo kwenye kuisimamisha iende Alalalala Acheni Tu…..(i was working on the family enterprise, kule ndio kuna ka upepo cha hela kamenipitia na nikaweza pata kianzio cha biashara yangu on the side + experience while working there)

Sasa from that nikaja anzisha biz yangu ndogo from scratch huku on the side ndio nikawa naona mapicha picha ya ulimwengu wa biashara live…(Yes my side hustle haikua na mfanano wowote na family business pale mwanzoni till baadae nikaja badili biz ikawa na similarity flan na moja wapo ya family enterprise)

U dig ??
 
And This Will Still Cost You A Lot Of Money. Niamini Mkuu Watu Wamefanya Hayo Yote…..Lakini Wapi.

Siri Kubwa Kwenye Biashara Ya Trading, Ni Uwe WholeSaler…..Unazungusha Stock worth 30 M wholesale in a day ila profit unaweza pata 1 M au 1.3 M. Sasa Zungusha Stock Tena Na Tena. Utaona Utamu Wake, Hapo Lazima Maisha Yako Yabadilike. Ila Sio Ulangue Stock Ndogo Ndogo Hapo Utapata Hela Ya Kubadili Mboga Tu. Wafanya Biashara Wakubwa Wanafanya Both.

Amini Nakuambia.
Kuna watu nilishawahi kuwaona wanasambaza dawa za jumla kwa kutumia pikipiki kupelekea wateja wao wenye pharmacy mitaani na wanatembea karibu wilaya zote za dar,wale kweli watakuwa wanapiga hela nyingi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Yes biashara ya Car wash na Barber shop ni nzuri sana ukibahatisha location nzuri.
Kwa sababu zenyewe hazina kuuza na kununua,unainvest mara moja tu baada ya hapo inabaki tu kulipia bills na rent mteja atakuja na nywele zake mwenyewe unamnyoa kisha analipia,same na car wash kazi yako ni kununua sabuni tu ya kuoshea gari

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

HaHaHa Hizi Nazo Katika Kujitafuta Nilishazifanya SMH

Maisha haya, Sema Nn nyie fanyeni kisha mje na mrejesho ila kumbukeni nimesema ukitaka uanze kukua na grow to a certain level…anzeni na logistics natured business and position yourselves into being middlemen but in a smart way.

Regards
 
Kuna watu nilishawahi kuwaona wanasambaza dawa za jumla kwa kutumia pikipiki kupelekea wateja wao wenye pharmacy mitaani na wanatembea karibu wilaya zote za dar,wale kweli watakuwa wanapiga hela nyingi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Now ur getting my point….sasa mimi biashara nayofanya mm now iko katika mfumo huu.

Nashukuru Mungu matokeo nayaona tena sanaa. Hii model ndio nayo i recommend mimi kwa mtu anaeanza biz mtaani hasa ya trading (tafuta chombo cha usafiri iwe kidogo / canter au pick up ambayo utapiga nayo mishe mbili tatu za hela ya kula ila hyo hyo itarahisisha flan deal zako za u middleman na huku ndio kuna hela).

Hakikisha Unajenga clientelle and channels kwanza. Start small alaf ingia front wewe mwenyewe achana na habari za kuajiri mtu. Hutafika Popote na Hutajifunza Mambo Mengi Kama Hauko Field First Hand. Baadae Sana Una Mtandao Wako Ndio Unatuma Kijana Tena Kwa Mahesabu “ Peleka Hichi Kitu From A To B, Then Rudisha Gari Hapa, Chukua Posho Yako 15k “

Hivyo Yani.

Inafika wakat hata watu wakuda na majungu from far hawajui una deal gani mjini office yako wewe ni simu tu, hela yako inaingia. Mifumo Tu ila lazima uanzie chini. Kuwa Mjinga Ki Manufaa [emoji817][emoji817]
 
Back
Top Bottom