Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Kuna michango ya wadau humu inaogopesha kweli

HAHAHA [emoji1787][emoji38][emoji1787]

We Fanya Unacho Amini, Kukielewa na Kukipenda Mkuu….Ila Zipo Venture / Hustles Ambazo Watu Wamefanya Wakaweka All Sound Energy, Time & Resources Ila Ndio Hivyo Tena.

Biashara sio kuuza na kununua tu. Calculated Circumstances (Back Up Plan Incase Shit Ain’t Happening) Matter As Well and Ofkoz God’s Divine Grace.
 
HAHAHA [emoji1787][emoji38][emoji1787]

We Fanya Unacho Amini, Kukielewa na Kukipenda Mkuu….Ila Zipo Venture / Hustles Ambazo Watu Wamefanya Ila Ndio Hivyo Tena.
Amna ventures isiyo kuwa na pesa, sema ndiyo hivo uwe na zali nazo.
Ndio maana kila venture kuna kila tajiri especially selling manufactured goods kuna profit kubwa.
Duka la Vipodozi lina pesa.
Duka la dawa/Pharmacy.
Duka la ornaments/urembo.
Duka la nguo na viatu.
Duka la electronics
Duka la phones.
N.k.

ndoto zangu ni kufungua au kupata fremu town centre na kufungua kimoja katika hivyo hapo juu maana ni vitu nikifanya navipenda, ukipenda unachofanya hata kiwe kigumu lazima utafanikiwa tu leo nina milioni 30 lazima nifungue duka la vipodozi au pharmacy au duka la nguo/viatu......
Japo nina idea nyingi hata ufugaji wa cow nafanya though siyo toka moyoni ila naforce.
 
Mimi Hzo Biashara Sina Tatzo Nazo Ila Ukitaka Mambo Yaende Na Maisha Yako Yabadilike (More Wealth) Usitegemee Retailing Only Focus Nguvu Kubwa Kwenye Kuwa Muuzaji Wa Jumla.

Tena Kwa Huku Town Center i.e. Kariakoo Ndio Kabisa Ukija Na Mentality Za Kuwa Mchuuzi Wa Reja Reja Mimi Nakuhesabia Siku Tu Ndani Ya Miezi 6 Lazima Ufunge Hyo Biashara Nipo Nimekaa Pale [emoji1428]

Hata Kidau Nipo Tayari Kuweka. Tena Inabdi Washindani Wako Uwasome Na Uwaelewe Ipasavyo + Uwajue Wateja Wako Ni Kina Nani (Sio Wateja Wakuja Kununua Dukani Kwako Pekee Kila Siku, Wateja Wengine Ni Unawafata Wewe Huko Walipo). Yani Kabla Hata Hujaanza Hyo Venture. Otherwise You Will Not Last, Take It From Me.
 
Tafuta eneo zuri la kufungua duka la mahitaji ya kila siku , sehemu ya. Muingiliano ya wa watu wengi , fungua duka au lipa kodi nunua mahitaji yanayohitajika sana kama sukari , mchele. Bidhaa nyingine , then anza kulisimamia , aseeeeeee ndani ya mwaka tuu utaona....
 
Duka la dawa lina faida nzuri ila uwe na hiyo taaluma ili ukomae mwenyewe kwa mda. Ila changamoto ni nyingi ila usiogope. Kama huna taaluma labda utafute nurse mwenye cheti cha ADDO, ikipendeza zaidi awe mke wako. Ndani ya mwaka mmoja Utaona 10m nyingine.
 
Mimi Hzo Biashara Sina Tatzo Nazo Ila Ukitaka Mambo Yaende Na Maisha Yako Yabadilike (More Wealth) Usitegemee Retailing Only Focus Nguvu Kubwa Kwenye Kuwa Muuzaji Wa Jumla.

Tena Kwa Huku Town Center i.e. Kariakoo Ndio Kabisa Ukija Na Mentality Za Kuwa Mchuuzi Wa Reja Reja Mimi Nakuhesabia Siku Tu Ndani Ya Miezi 6 Lazima Ufunge Hyo Biashara Nipo Nimekaa Pale [emoji1428]

Hata Kidau Nipo Tayari Kuweka. Tena Inabdi Washindani Wako Uwasome Na Uwaelewe Ipasavyo + Uwajue Wateja Wako Ni Kina Nani (Sio Wateja Wakuja Kununua Dukani Kwako Pekee Kila Siku, Wateja Wengine Ni Unawafata Wewe Huko Walipo). Yani Kabla Hata Hujaanza Hyo Venture. Otherwise You Will Not Last, Take It From Me.
Big Point sana mkuu nime salute kuwa zinahitaji kuwa muuzaji wa jumla na pia ujue washindani wako na ujue wanauza vipi kama usemavyo.

Itafika mahali uwe mbunifu wa kuuza unique product before others na unique price.
 
Ngoja Nikuambie Trading Business Is All About Numbers (Profits x Quantity = Income)

Sasa njoo kwenye reality jiulize niuze kiasi gani kwa faida gani nitengeneze 10 M , 5 M , 3M au 1 M kwa Month / Week or Days.

Then rudi tena njoo angalia gharama na expenses zako. Je kuna survival possibilities hapo kwenye hyo venture ?? Je hizi sales zitakumbana na challenge zipi kwenye market (ushindani, fashion or style kubadilika, mbinu na business styles za wengine wenye mitaji zaidi yako zitaku athiri vp wewe hapo hapo maeneo biashara yako ulipo ?? Sawa huwezi kushindani nao ila je utashirikiana nao vp na wewe u make.

Je office yako utai position vp ili uwe winga wa biashara za wengine (uwezekano huo upo ??) and Mind You This Is Possible If Unakaa Kwenye Frame Yako 24 / 7 otherwise kijana wako ndio ata enjoy hyo fursa, na hii ndio sababu vijana wengi walio timamu kichwani kwenye maduka town wana fanikiwa sana cz ni kama amepewa mzigo wa boss yeye kazi yake kudalalia tu na hana expense zozote zile.

Maake mjini hapa watu wanafungua office anaweka stock bosheni tu ila yeye kutwa kudalalia stock za wengine….na anaishi njema sanaa kuliko unavyo dhani na unakuta stock yake haitembei ila anatembeza stock za wengine frame yake inakua kama kijiwe chake (sasa hapa ujue kwamba kuna watu wana network za maana in trading hapo hapo kkoo, ila pia ujue wateja sio wajinga nao wanazunguka na wana research mnoo…..mpaka mtu akupe hela yake chances ni kashachunguza sehem kibao)

Yani mambo ni mengi mkuu. Kikubwa wekeza kwenye Knowledge. Stay Vigilant, Develop Intelligence Ya Maana Ujue Mambo Maana Hakuna Mfanyabiashara atakufungukia siri za mafanikio ya biashara huku akijua kabisa utakwenda kuwa competitor kwake.

Poleni Kwa Gazeti Refu [emoji28]
 
Ngoja Nikuambie Trading Business Is All About Numbers (Profits x Quantity = Income)

Sasa njoo kwenye reality jiulize niuze kiasi gani kwa faida gani nitengeneze 10 M , 5 M , 3M au 1 M kwa Month / Week or Days.

Then rudi tena njoo angalia gharama na expenses zako. Je kuna survival possibilities hapo kwenye hyo venture ?? Je hizi sales zitakumbana na challenge zipi kwenye market (ushindani, fashion or style kubadilika, mbinu na business styles za wengine wenye mitaji zaidi yako zitaku athiri vp wewe hapo hapo maeneo biashara yako ulipo ?? Sawa huwezi kushindani nao ila je utashirikiana nao vp na wewe u make. Je office yako utai position vp ili uwe winga wa biashara za wengine (uwezekano huo upo ??).

Maake mjini hapa watu anafungua office anaweka stock bosheni tu ila yeye kutwa kudalalia stock za wengine….na anaishi njema sanaa kuliko unavyo dhani na unakuta stock yake haitembei ila anatembeza stock za wengine frame yake inakua kama kijiwe chake (sasa hapa ujue kwamba kuna watu wana network za maana in trading hapo hapo kkoo, ila pia ujue wateja sio wajinga nao wanazunguka na wana research mnoo…..mpaka mtu akupe hela yake chances ni kashachunguza sehem kibao)

Yani mambo ni mengi mkuu. Kikubwa wekeza kwenye Knowledge. Stay Vigilant, Develop Intelligence Ya Maana Ujue Mambo Maana Hakuna Mfanyabiashara atakufungukia siri za mafanikio ya biashara huku akijua kabisa utakwenda kuwa competitor kwake.

Poleni Kwa Gazeti Refu [emoji28]
Kweli kabisa Knowledge is Power kuwa master sio mchezo, ni kuwa makini sana ila kaka wewe umeenda shule na unajuwa sana.

Nilitaka niseme wafanyabiashara wakubwa sana wamegrow bila shule yaani wengi hawana elimu wala frame work ya kugrow rich.
Wasomi wengi hawana capital ila msomi akipata capital akawa consistency kama wewe atakuwa mbali ila tu wasomi tuna complicates vitu.
Mfano wa kuwa mbali ni kama Fred Vunja Bei ni msomi aliye grow fast.......
Mcheki Makjuice wanagrow fast kwa sababu wana life skills earned from learning.
 
Ni Kweli Nimesoma To Masters Level (Business & Finance Subjects) naongezea postgraduate ya mass communications….hii na malengo nayo flani baadae.

Nlivyo maliza (masters degree) nikaingia in the family venture….wazee wetu wakichagga ni kaxx sanaa….sasa mimi deep down in my mind and heart nikawa nataka some true freedom. Sasa kuna namna nikawa na leverage biz za family to grow my own biz on the side….sasa hapa ndio nikajifunza mengi mengi mengi sanaa.

Nishasota (business wise) nishachekwa sana na other traders kkoo wakisema napoteza muda tu cz sina mtaji wa ku survive mule na mwenye nyumba siku moja akaniita akaniambia kijana are u sure u can survive humu ?? kama unaona hutaweza u are free kuuza contract ili mtaji wako usipotee i can help ukihitaji (sitamsahau yule mzee aliniambia mambo mengi sana ya kunijenga hakuwahi nikejeli….namkumbuka vizuri sana hata uniamshe usiku wa manane nakumbuka ukarimu wake wote, Mungu amuweke) na some people in kkoo walionijua flani from a distance wakaniuliza why nafungua biashara vya kishamba kama hivi huku mitaa hii ya kkoo na wakati ungekomaa pale kwenu ungekua fine tu (hakuna kauli naichukia maishani mwangu kama hii, nasemaga tu moyoni mpuuzi huyu hajui nayopitia so fakeen asitake kunijua sana) U dig ??

Sasa ni hivi hzo experience zimenikomaza sana hata kufikiri kwangu kumebadilika. I remember a time naenda kkoo siku nzima sijauza a thing na kijana wangu msaidizi anahitaji ale msosi na nauli apewe ya kwenda home na kurudi kesho asubuhi na huku sumtym napiga dash sili mchana ili nisiharibu budget ya nauli ya dogo na alikua ndugu yangu upande wa mama fal@ yule hakua na shukrani akawa ananiibia nikafukuza (siku moja nikamuangalia nikajiapia kimoyo moyo mbw@ huyu kama atakaa aje kula mia yangu sijui)

And yes nlikuja nikaifunga ile biashara na dem nliyekua nae at the time akaniacha cz hakuona na progress yeyote iliniuma sana ila nilizidi kuimarika (ukijua umuhimu wa majaribu utamshukuru Mungu kila siku. Take it from me)….so nika restructure my plans and strategies upya….nafanya biz kama ile (trading) ila sio kwa style kama ile ya zamani (nimeeleza hapo juu) nimefika mahala flani pazuri ila siezi funguka zaidi ila kikubwa nimeshare njia nilizopita hadi kufikia nilipo…

Regards
 
Ni Kweli Nimesoma To Masters Level (Business & Finance Subjects) naongezea postgraduate ya mass communications….hii na malengo nayo flani baadae.

Nlivyo maliza (masters degree) nikaingia in the family venture….wazee wetu wakichagga ni kaxx sanaa….sasa mimi deep down in my mind and heart nikawa nataka some true freedom. Sasa kuna namna nikawa na leverage biz za family to grow my own biz on the side….sasa hapa ndio nikajifunza mengi mengi mengi sanaa.

Nishasota (business wise) nishachekwa sana na other traders kkoo wakisema napoteza muda tu cz sina mtaji wa ku survive mule na some walionijua flani from a distance wakaniuliza why nafungua biashara vya kishamba kama hivi huku mitaa hii ya kkoo na wakati ungekomaa pale kwenu ungekua fine tu (hakuna kauli naichukia maishani mwangu kama hii, nasemaga tu moyoni mpuuzi huyu hajui nayopitia so fakeen asitake kunijua sana) U dig ??

Sasa ni hivi hzo experience zimenikomaza sana hata kufikiri kwangu kumebadilika. I remember a time naenda kkoo siku nzima sijauza a thing na kijana wangu msaidizi anahitaji ale msosi na nauli apewe ya kwenda home na kurudi kesho asubuhi na huku sumtym napiga dash sili mchana ili nisiharibu budget ya nauli ya dogo na alikua ndugu yangu upande wa mama fal@ yule hakua na shukrani akawa ananiibia nikafukuza (siku moja nikamuangalia nikajiapia kimoyo moyo mbw@ huyu kama atakaa aje kula mia yangu sijui)

And yes nlikuja nikaifunga ile biashara na dem nliyekua nae at the time akaniacha cz hakuona na progress yeyote iliniuma sana ila nilizidi kuimarika (ukijua umuhimu wa majaribu utamshukuru Mungu kila siku. Take it from me)….so nika restructure my plans and strategies upya….nafanya biz kama ile (trading)ila sio kwa style kama ile ya zamani (nimeeleza hapo juu) nimefika mahala flani pazuri ila siezi funguka zaidi ila kikubwa nimeshare njia nilizopita hadi kufikia nilipo…

Regards
Okay world gots a lot to disappointing you.

Achana na watu focus on your goals, hawa wazee wa kichagga ni mizunguo mi natoka pia kwenye jamii hiyo ila siweki focus kwao.

Ulipofika ni stage nzuri.
 
Inawezekana kabisa tena zaidi ya hiyo akipata location nzuri! Kuna duka nalijua kwa siku mauzo ni 150k-300k tena hiyo 150 ni siku hamna biashara kabisa! Biashara yoyote mchawi ni location!
Kwenye hayo mauzo ya 300k faida minimum inaweza kuwa kiasi gani
 
Dah kweli life is not a rehearsal.
Yaani mtu amefungua Pharmacy kubwa nje ya hospitali na bado hakutoboa je uswahilini itakuwaje,biashara ni vita kweli sio kama watu wanavyodhani na kurahisisha mambo.
Hii hakutoboa sababu ya aina ya wateja wa hiyo hospitali , Rabininsia wengi wanaenda wakiwa na bima na hospitali wanakuwa wanadawa aina zote na pia kama hana bima wanaoenda pale wengi wanauwezo wa kununua dawa bila kujali gharama , Mambo ya kufungua pharmacy karibu na hospitali nenda hospitali za hali ya chini na za serikali ambazo hamna dawa na wagonjwa wengi hawana bima na uwezo mdogo.
 
Phamarcy haikua next door na hyo hospitali per say kuna ka distance about 250 - 300 Meters. Mkuu haya mambo sikia tu kwa watu.
 
Phamarcy haikua next door na hyo hospitali per say kuna ka distance about 250 - 300 Meters. Mkuu haya mambo sikia tu kwa watu.
Nafikiri location bado ilikuwa shida bado maana nimekulia maeneo hayo nafahamu aina ya watu wanaoishi maeneo hayo. All in all kufanya biashara inabidi ujipange kweli , uweke bidii zako zote Mengine unamuachia Mungu
 
Mkuu uza bangi yaani uwe pusha, puli moja la bongo shit ni 3k linatoa kete 20-25 ukiwa na kijiwe chako kizuri unaweza kuuza mapuli hadi 10-15 kwa siku, kete moja ni sh 500 kwa puli moja minimum utatoa 10000 ukiuza mapuli 10 kwa siku minimum utapata 100000 toa gharama za rizla, kali na mapuli 30000 unabaki na 70000, ukimlipa kijana anayebaki maskani kwa siku 10000 unabaki na 60000 take home sasa ukiwa na vitatu kwa siku hukosi 200000 take home, hapa nimeongelea bongo shit peke yake ukiweka na skunk kila gram unauza 2000 kwa siku unaweza kuuza hadi gram 50-100 ni pesa nzuri, muhimu ujenge connection kutuo cha polisi kilicho karibu na kijiwe chako, uwe na namba ya ocs na mkuu wa kituo bila kusahau namba za madereva wa difenda, utafanya biashara yako kwa amani kabisa, bangi sio kosa ni ukoloni tu na upumbavu, watu wanawateja wao hadi state House na wanaishi kama kawa, huu ni ushauri from experience japo kwa sasa sipo kweye line hiyo.
Comment reserved for soon implementation.
 
Back
Top Bottom