Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

I tried this business and nilichugundua bora uwe na product yako either una-import or una-produce, hizi za kuchukua madukani sina faida ndogo na kuna competition sana kutoka kwa giants. Pia wateja wanakopa sana nadhani ni nature ya soko. Imagine unauza mzigo let say wa TZS 2,000,000 unapata faida 100k then mtu anakulipa within 1wk had 2wk.
Hapa umemaliza kila kitu Niko kwenye business hizi zakuuza nakununua competition nikubwa Sana yaan faida ndogo mno nilichogundua kwasasa Tanzania ili utusue ni uimport bidhaa kwa nembo yako au uproduce mwenyewe ili uwe natargeted customer wako na ufaid new custorme with different market stratrgy
 
Ushauri wangu ingia shamba mkuu , kawekeshe mahindi huko kwa wakulima kabla ya mavuno gunia Moja la mahindi kwa Sasa ni elfu 40 -50 kwa maeneo mengi baadae wakivuna mwezi wa 6 hiv ukihifadhi kidogo tu unauweza kuuza gunia Moja minimum kwa elfu 70 - 100k , so Kuna uwezekano wa kupata faida kwa 100% ya pesa ulioiwekeza!
 
Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya,

Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini.

Moja ktk harakati za utafutaji (Udalali), nimebahatika kufikia kiasi kadhaa Cha fedha 10M, changamoto ninayopitia mpaka sasa nimeshindwa kuiendeleza kutokana na kuwa sijajua nifanye biashara gani itakayo zalisha pesa kwa uharaka na bila maumivu makali.

Nimejaribu fatilia baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakilalamikia suala la tozo kuwa nyingi kwenye shughuli zao lakini pia haitoshi nikajaribi ingia kwenye kilimo jambo ambalo linahitaji muda wa ziada na utayari wa chochote ktk kuvuna au kupata hasara.

Natamani sana kufanya biashara na ni ndoto niliyokuwa nayo katika maisha yangu naomba maoni yenu, msaada, connection na elimu pia juu ya biashara.

#MEK
Kama unataka pesa yako hiongezeke kubali kufanya biashara ya halali pia ukubali kupata faida kidogo kidogo hili hela yake izidi kupanda pole pole biashara ya pesa ya haraka mala nyingi na hasara ni ya haraka pia hela ya utajiri uja kidogo dogo
 
Endelea kudanganya watu humu kwamba biashara ya uber inalipa. Ngoja nikupe elimu mtoto wa mama wa kuskiliza story za vijiweni na kutuletea hapa. Two years back gari ya mkataba kwa wiki ilikuwa 150,000-180,000 service kila kitu juu ya Dereva baada ya miaka miwili gari linakuwa la Dereva na wahindi walikuwa wanakopesha viajana magari. Hii hesabu ilikuwa vijana kibao wanashindwa wanajikuta wanarudisha magari au wananyang’anywa kwa kufeli kupeleka hesabu kwa wakati. Pili gari isiyokuwa ya mkataba ilikuwa hesabu kwa wiki ni 100,000-120,000 kwa wiki service matengenezo ya gari ilkuwa juu ya boss. Pia hapa viajana wengi walinyng’anywa magari kwa kushindwa/kufeli kupelekea hesabu kwa wakati. Vijana wengi waliuza masega ya hizi gari pamoja na hata spare parts au taili ili kupeleka hesabu kwa boss. Kijana unamkuta anaendesha gari inakaribia siku ya hesabu Hela alonayo mkononi haileweki mwisho wa siku wanaenda mpaka kukopa Hela kwenye familia zao ili wapeleke hesabu. Kijana unamkuta anaendesha uber harudi kwao siku mbili tatu mpaka nne anakesha kutafuta hesabu, unaingia kwenye gari unakutana na dereva ananuka hajaoga siku mbili tatu. Kuna kipindi madereva wakaandamana sana pale Leaders mpaka ofisi za Latra kusinikiza uber/bolt wapunguze makato (commission) kwani madereva hawapati kitu na migomo hii ilifanyika Mara nyingi tu mpaka hata uber wakaondoa magari wakabaki kwenye Bodaboda baada ya kulazimishwa na Latra wapunguze commission inamana wewe vyote hivi hukuvisikia?au ulikuwa kwenu kijijini? Kijana kaomba ushauri ana milion10 anataka wazo la biashara ambalo litamtoa kimaisha wewe unamletea habari za uber na bolt!! Angalia sasaiv kuna bajaji ngapi zipo kwenye huo mfumo? Zote zimejitoa kwakuwa hawapati kitu wameamua kurudi vijiweni. Sasaivi vijiwe vya bajaji wanalipia mpaka laki 5 kujiunga. SIKU NYINGINE UKOME KULETA STORY STORY ZA KUSIKIA MTAANI. USIJIFANYE UNAJUA KILA KITU MPE MTU MAWAZO KWA BIASHARA UNAYOIFAHAMU AMBAYO UMEIFANYA. SIO KUANDIKA ANDIKA TU.
kaka unaweza nielezea kuhusu ya kirikuu kama unaifahamu
 
Kuna jamaa mmoja alikua yeye kila uzi wa biashara anatoa ushauri na watu wakiwa desperate hua hawawezi ona zaidi ya wanachoonyeshwa.

And then one day ikaja kesi jamaa kamtapeli mdada humu kisha akaanza mlaumu mdada kua kampa kaswende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya,

Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini.

Moja ktk harakati za utafutaji (Udalali), nimebahatika kufikia kiasi kadhaa Cha fedha 10M, changamoto ninayopitia mpaka sasa nimeshindwa kuiendeleza kutokana na kuwa sijajua nifanye biashara gani itakayo zalisha pesa kwa uharaka na bila maumivu makali.

Nimejaribu fatilia baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakilalamikia suala la tozo kuwa nyingi kwenye shughuli zao lakini pia haitoshi nikajaribi ingia kwenye kilimo jambo ambalo linahitaji muda wa ziada na utayari wa chochote ktk kuvuna au kupata hasara.

Natamani sana kufanya biashara na ni ndoto niliyokuwa nayo katika maisha yangu naomba maoni yenu, msaada, connection na elimu pia juu ya biashara.

#MEK

Kama unataka utoboe kiurahis fanya byashara ya mtandao(network marketing)kuna mrad unaitwa ag nutrition to be honest unalipa sana tena sana Kama uko sereous njoo inbox nikupe maelekezo uingie mzigon ipo siku utanishukuru
 
Employed / Self Employed ??

Muda wako umekaaje, can u devote atleast 8 - 10 hours a day on your business ??

Mfano mi ukinipa hyo natafuta canter used (box body) au canter ya mizigo hizi za tonne 2 engine 4D33….used najua naweza ipata kwa 9 - 12 M naiweka sawa na kuinyoosha kwa kama 3 M hivi jumla 15 M….naanza nayo kubeba mizgo ya watu ya samaki kupeleka airport kusafirishwa…..(and other stocks as well)

Yani inshort deal na logistics kuna madeal mengi yatafunguka hasa ukiwa na mtaji mkononi wa kununua bidhaa flani ambazo unajua nikitoa point A nikipeleka point B kuuzwa mzigo haukai iwe vifaa vya hardware, sijui vyakula sijui stock za madukani yani huwezi kosa ma deal hasa kama una capital na kumbuka hata kubeba stocks za watu wengine kuna mambo na siri zao za trading utasanuka tu na kupata margins flan ukiwa serious (mwishowe yale yale michezo ya wholesale biz techniques).

Yes kwa kuanza gari endesha mwenyewe.
Kwa mbwembwe ulizoonyesha sikutegemea hizi ndio idea za biashara ulizonazo kichwani
 
Kwa kufanya Biashara ya uber hicho kitu napingana na wewe mkuu. Sasaivi biashara ya uber haina hela hiyo hesabu uloisema Sijui 40k-60k ni uwongo. Hiyo hesabu labda unaweza kuipata kipindi cha weekend ijumaa na jmosi tena kwa kukesha na sio guarantee. Biashara tax mtandao gari zimekuwa nyingi mno requests ni chache kuna kipindi madereva wanakosa hata mafuta ya kurudi na gari majumbani kwao wana yapaki mjini wanakula daladala kesho anarudi kulifata gari. Kwakuwa gari litakuwa lake atakuwa na uhakika tu wa kupata Hela ya kula elfu10-15 kwa siku huku mtaji wake wa milion10 ukiwa salama kwakuwa atakuwa kautia kwenye gari ili siku yoyote akiona namna gani haelewi analiuza gari.
Huyo jamaa@Money Bags hajui lolote kuhusu biashara anafanya ujuaji tu hajawai fanya biashara mimi nimemsoma namna anavyo mislead watu...uber/bolt is no longer profitable hata kupata buku 20 madereva wanashindwa. Analeta story nyingi hapa za kumislead watu wachome mitaji yao.
 
Mpe Dortmund na yanga
Tia mzigo wote
nunua konyagi ndogo Anza kumeza taratibu huku ukisubiri mavuno

NB:kuna mmoja amejirusha ghorofani hapo makumbusho
 
Ukifungua duka, sijui mgahawa, sijui pub sijui banda la chips, sijui duka la nguo nakuapia utapoteza hyo hela. Mapemaa Saa 2 Asubuhi.

All u need ni shughuli ya kufanya na kuisimamia wewe mwenyewe ambae 100% utakua una deal nayo chances ukipata 10 M nyingine mara mbili yake tena about 20 M kama hyo ndio utaitumia kufungua biashara nlizotaja hapo mwanzo tena kwa kuangalia na mazingira kwa umakini otherwise uta lost big tym my friend.

Been There Done That, For now usifanye biashara Ambayo Utahitaji Kuajiri Watu Wakusaidie Maana Hao Ndio Pasua Kichwa Watakupiga na Kukuliza, Atleast Not For Now (Kuza Kwanza Mtaji Wewe Mwenyewe) Utapata uzoefu na kujifunza mengi sanaa, Hela Ina Codes Nyingi Sana Mkuu Hasa Mtaani.

USHAURI:

Nunua Bajaj / Gari Used not more that 7 M nyingine save for emergency purposes. Register chombo uber / bolt ingia kazini huku una piga mishe za udalali mbili tatu. Utastirika Sana, Biashara zenye nature ya logistics ndio zinazo waweka sana watu mjini iwe bajaj, uber, pick up, canter, fuso yani hizi japo ni challenge ila atleast mostly kama una deal nazo wewe mwenyewe first hand.

Utanishkuru Baadae.
Yeap [emoji95]
 
Ndugu naona wengi wameshauli kuhusu biashara lakini kuna mambo kama mawili nataka nikufahamishe kwa biashara yoyote utakayo chagua kuanza.
1. Mfano ukawa na msingi wa 10m tafuta biashara ya kufanya utakayo anza na 5m.
2. Biashara ni tabia za watu wachache haswa za kuanza chini kama ujawahi kufanya zinachangamoto sana ata ukiwekeza 50m inaitaji uwe karibu na mtu anaye fanya hiyo haina ya biashara na akushike 100%...vinginevyo tafuta mtu aliye anza na unayemuamini uweke percent yako uku ukiwa na wewe ukishiliki hiyo biashara
 
Back
Top Bottom