Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

Nondo kali sana hii. Hii comment mwaka jana ningeisoma zile 7M zangu nilizomwaga pale Buguruni Rozana Dar zisingekata kimasihara vile kwa Mgahawa
 
Nondo kali sana hii. Hii comment mwaka jana ningeisoma zile 7M zangu nilizomwaga pale Buguruni Rozana Dar zisingekata kimasihara vile kwa Mgahawa
Hili lijamaa Money Bags lina miakili mingi sana ya elimu ya kupambana mtaani halafu siyo lichoyo la maarifa hili lijamaa! Salute kwako mzee umetisha sana! Unaongelea uhalisia wa vijana wengi tunaopambana na kujitafuta mjini hapa
 
Reactions: 5v1
Hili ni li @ money bags post ni ya April last year still ni kama ya leo hii saa hii ninavyo andika hii comment. Ukitoa kitu Kwa moyo wa that huwa kinaishi bhana
 
Idea ya biashara utaipata kutoka ndani ya nafsi yako, nini unapenda kufanya/ we binafsi una kipaji gani/ unataka kusolve changamoto gani maeneo gani ambayo ndio fursa kwako.

Usifanye kitu cha kusimuliwa
 
Hebu anza kidogo na chips, tafuta sehemu yenye watu wengi, penye mzunguko wa pesa. Anza tu na m 1, nyingine weka fixed account kwa kubuni mbinu nyingine. Chips ikijibu utafurahiya maisha. Kuna wengi waliotoka kwa chips.
 
Ist bei gani mtaani nataka kujiunga bolt niwe naingiza buku 30 per day
 
Idea ya biashara utaipata kutoka ndani ya nafsi yako, nini unapenda kufanya/ we binafsi una kipaji gani/ unataka kusolve changamoto gani maeneo gani ambayo ndio fursa kwako.

Usifanye kitu cha kusimuliwa
Kumbe hii nayo akili. Sasa tatizo ya unachopenda ndio unakuta mtaji changamoto. So inabidi tuanze na hizi business nyingine wakati tunasaka mitaji.
Mie napenda sana mujenga ila sasa hela yenyewe mpaka boss acheke
 
Anza mdogo mdogo na ulichonacho, simamia biashara yako pesa itaongezeka utaexpand.....we unapenda nini kwani?

Mi najua we unapenda mbususu
 
Anza mdogo mdogo na ulichonacho, simamia biashara yako pesa itaongezeka utaexpand.....we unapenda nini kwani?

Mi najua we unapenda mbususu
Mie napenda kujenga majumba sasa mtaji sina. Hivi vilaki nitaanza biashara gani? Ile ya chupi za warembo nimefanya niliishia kuhonga warembo chupi mtaji ukakata.
Nikasema nifanye kibanda cha xhips nacho naoma naelekea kufilisika maana chips yai kwa warembo nagawa tuu. Saa sijui nifanye biashara gani
 
Wanawake wanakufilisi.....sasa hapo fanya biashara ya kuuza p2 hiyo zitatoka ila pia watakuonea aibu kula vyako wakishanunua p2 au unaonaje
 
Biashara ya hardware dar ishakuwa saturated maeneo mengi labda aende kibaha au mkoa mwingine tofauti kbsa
 
Wanawake wanakufilisi.....sasa hapo fanya biashara ya kuuza p2 hiyo zitatoka ila pia watakuonea aibu kula vyako wakishanunua p2 au unaonaje
Hili wazo aisee never thot about this. Thanks ngoja nitafute whole seller wa p2
 
Biashara ya hardware dar ishakuwa saturated maeneo mengi labda aende kibaha au mkoa mwingine tofauti kbsa
Yes offcourse soko ni la kugombania na hapo wanaoenjoy ni wale wenye mitaji mikubwa anaagiza vitu vingi kwa bulk quantities ambapo hata akishusha bei bado atapata faida
 
Crypto na Share kwenye projects za Blockchain. Utajiri huu hapa.
 
Yes offcourse soko ni la kugombania na hapo wanaoenjoy ni wale wenye mitaji mikubwa anaagiza vitu vingi kwa bulk quantities ambapo hata akishusha bei bado atapata faida
Biashara nyingi bongo sa iv zina ushindani mkali sana, ili kusurvive unatakiwa uwe super strategic la sivyo biashara itakushinda
 
Hii naichukua
 
M
Kuna kijana mmoja anachukua ng'ombe mkoani anachinja anasambaza kwenye maduka yake ya nyama ana duka c chini ya 15 ,yule kijana anapiga pesa c mchezo.
Kwenye kila kg 1 anapata faida 4000.
Anapata faida zaidi ya wale wanaoenda kununua nyama vingunguti
mbasha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…