Biashara gani Kati hizi zitamlipa huyu kijana anayeanza maisha.

Ajitahidi kuwa smart na amtegemee Mungu akae mbali na uzinzi katika early stage .

Biashara zote hapo nzuri Ila kilimo asiguse hadi atakapokuwa financial stable maana kilimo kwa Tz ukiwa unaanza utafutaji kinaweza kula mtaji wako wote .
 
Mengine yamekaa poa tu.Ila,namba 12.Ukimueleza mtu aende porini kununua mazao unamaanisha nini?Au kiswahili ni kigumu?Porini,vijijini na mashambani naamini ni maneno yenye tofauti za kimaana.Nieleweshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…