Biashara gani mtu anaweza kufanya kwa mtaji wa 10m?

Ahsantr
 
ILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI

WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
Naomba useme hapa kuwa mimi simo kati ya hao maana najua kuna wajinga watahisi na mimi nimekuja PM .
Nisafishe dada nikupe wazo la biashara chap
 
Habari, kama bado haujafanikiwa nicheki kupitia whatsapp (+255745000008), naweza kukushauri kulingana na uwezo au mtiririko wa maisha yako.

Sio kila biashara utaweza kisa tu una mtaji.

Hapana, biashara nyingi zilizofanikiwa sio mtaji ila ni kua rada na fursa zingine zingine. Ndio maana wenye biashara zilizofanikiwa utakuta muda wote yupo huku na kule kwenye deal hii na deal ile n.k
Unakuta alianza na 1M ila hapo katikati alipiga dili lingine analojua yeye akapata 2M akaamua ku i wekeza mule mule tena, huku nje unaona mtu biashara inakua kumbe janja janja nyingi

Tambua kwamba hakuna biashara mbaya ila kuna biashara zilizowashinda watu na tatizo ni mtu mwenyewe.

Biashara hukufundisha kujitambua na kua ww sio chochote kabla haijafanikiwa, ili biashara ifanikiwe roho/nafsi yako inatakiwa iishi hapo. Sio unafungua unaacha ukae kusubiri faida. Hapa utajuta na kuanza kusema unaibiwa au kuita watu wachawi.

I am a business systems architect.

We can explore further unachoweza kufanya na kikakupa faida.

Ila sikushauri ukurupuke maana hakuna biashara isiyo na faida ila kuna biashara zitakupa faida, kulingana na uwezo/maarifa/utayari wako.

Asante.
 
Mitivani
Motivational speaker on air
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…