1.Nursery local
2.Library ya movie ya kisasa
3.Duka la urembo
4.Saloon ya kike
5.Genge la matunda la kisasa
6.Biashara ya chips
7.Ufundi simu na phone accessories 👉 Hii ukiwekeza vizuri na ukikaa mwenyew 50k uhakika
8.Duka la mikoba ya kike
9.Biashara ya nguo za kike na watoto
10.Kawafungulie mgahawa local ila classic wanafunzi wa chuo
11. Master kucha wa kisasa kidogo, make-up na kubandika kope maeneo ya mwenge force upate sehemu hata kama n local fresh tu
12.Medical laboratory,,, ndogo biashara ya afya huwa nzuri pia
13.Udalali wa nyumba kw dar nao hulipa vizuri 😁
(Ukiwa na connection ya maana)
14.Uwakala wa laini na kituo cha M-pesa hapohapo
15.Tafuta mwenzako mmoja mwenye mtaji unaozagaa ingieni ubia, tafuteni mafundi wazuri fungueni kampuni la ujenzi wewe utakuwa bodi ya wamiliki
(Hii n idea kubwa japo changamoto zake n nyingi kidogo)
16.Fungua mgahawa uswahilini mpe mama ntiliye mkataba kama pikipiki, afanye kazi mwaka baada ya hapo uwe mgahawa wake😁
Hapo utakuwa umepata mfanyakazi royal naa haitokusumbua stress za kuiwazia sana business
*Kikubwa tu usiwe na tamaa muda ukifika mpe kila kitu aendelee na maisha yake
17. Chukua vitu Daslam peleka mkoani huko. (Sio lazima ww ndo uwe unapiga hizo roots, unaweza fungua duka mkoani ila stock ya mzigo inatoka dar
Note: Hapa nimechanganya biashara aina zote, kuhusu range ya mtaji unaweza amua uanze na kiasi gani
Kuna business hapo unaweza anza hata na mtaji wa laki 5 mpaka 10+ milion
Chukua idea ingia mtaani fanya research ukiona inaingia akilini anza kuchakalika... mwanzo wowote huwa mgumu😁
Ila mwanzo wa investment ya 5 milion, si sawa na mwanzo wa investment ya laki 5.