a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
Nakushauri nenda kanunue bond pale nmb bank kwa kutumia huo mtaji wako .. nd utakua unalipwa 13% kila mwezi .. so hela yako itakua safe haupati hasara zaid ya kupata faida ..
Hilo lingekuwa rahisi hivyo si tungekuwa wote tunanunua hizo bond, hio 13% ni kwa mwaka mzima na si mwezi kama anavyokupanga...Ni 6.5% kila baada ya miezi 6 na sio 13% kila mwezi!Hii ikoje mkuu?...Upo serious?...Ni kweli unaweza weka hela afu ukawa unapata faida ya 13%Kila mwezi?
Zinaanzia laki 5, hivyo ni wewe tu na hela yakoKwaiyo hao nmb wanachukua kuanzia mil 10 tu?. Ukiwa na pungufu vipi unaweza kuwekeza?
Ungeweka point katikati ya 1 na 3 it would make a bit of a sense pia mi nshafuatilia kwa makini kabisa hilo swala eversince wanatangaza.na hesabu zilikuwa ni 13% per annum. Wanalipa kwa mihula miwili kila baada ya miezi sita hivyo ukipiga hesabu ndogo tu it means utapokea 6.5% kwa miez sita ya mwanzo then 6.5% kwa miezi sita ya mwisho. Kuhusu ku draw faida kila mwezi sikusikia na pia hata ukikokotoa 6.5% gawanya kwa 6 ili upate kila mwezi unatakuwa ulipwe kiasi gani its around 1.083'% ...Kwa mwezi sio mwaka
Yah unaweza .. mie ndio kitu nachokifanya .. kama mwezi ukiopita nilinunua bond ya 10 million na naenjoy profit ya 1.3 million ya kila mwezi .. wanakua wanakupa interest .. ila hiyo interest unapewa kila after 6 month .. yani 1.3 zidisha mara miez sita .. mbna zipi biashara ambazo hupati hasara .. na wala haitaji unahangaika ..
Usibishane na kitu kipo hapa hapa dar .. amka asubuhi mapema nenda nmb bank kaulizie .. ningekua na lile gazeti la mwezi uliopita ningekupigia picha ukasomaUngeweka point katikati ya 1 na 3 it would make a bit of a sense pia mi nshafuatilia kwa makini kabisa hilo swala eversince wanatangaza.na hesabu zilikuwa ni 13% per annum. Wanalipa kwa mihula miwili kila baada ya miezi sita hivyo ukipiga hesabu ndogo tu it means utapokea 6.5% kwa miez sita ya mwanzo then 6.5% kwa miezi sita ya mwisho. Kuhusu ku draw faida kila mwezi sikusikia na pia hata ukikokotoa 6.5% gawanya kwa 6 ili upate kila mwezi unatakuwa ulipwe kiasi gani its around 1.083'% ...
Kwa hio hoja yako ya 1.3% kila mwezi simply means utapokea 7.8% ndani ya miezi 6 which is far beyond the set target ya 6.5% unless otherwise labda NMB wawe wana treat wateja na mikataba tofauti ila hoja yako ina utata!
Duh inawaingiza chaka wasomaji ile asilimia 13 ni kwa mwaka na sio kwa mwezi kwa hiyo kama unawekeza milioni 10 kwa mwaka unapata gawiwo la 1.3 m na kwa hiyo miezi sijui mitatu mitatu watakayokulipa ni kwamba wanachukua 1.3 m ambayo ni gawiwo la mwaka wanagawanya kwa hiyo miezi
Usibishane na kitu kipo hapa hapa dar .. amka asubuhi mapema nenda nmb bank kaulizie .. ningekua na lile gazeti la mwezi uliopita ningekupigia picha ukasoma
Usibishane na kitu kipo hapa hapa dar .. amka asubuhi mapema nenda nmb bank kaulizie .. ningekua na lile gazeti la mwezi uliopita ningekupigia picha ukasoma
Mkuu bond za nmb ni za 3yrs. Ukinunua leo huwezi kuchukua pesa yako mpk baada ya 3yrs. Interest ni 13% kwa mwaka na inalipwa mara mbili kwa mwaka, yaani unapata interest kila baada ya miezi 6, pia unaweza kuziuza hizo bond kwenye soko la hisa (DSE) kama shares wanavyouza but at discount value. Biashara ya bond ni ya mtu ambaye ana idle cash, pesa ambazo hana haraka nazo kwa mda ule lakini kama una alternative ya kufanya sikushauri sana kwenye hii biashara.Usibishane na kitu kipo hapa hapa dar .. amka asubuhi mapema nenda nmb bank kaulizie .. ningekua na lile gazeti la mwezi uliopita ningekupigia picha ukasoma
acha uongo kaka...
haya bishana na website ya nmb hiyo taarifa yao kwa public
National Microfinance Bank PLC (NMB) - NMB opens a Bond investment opportunity for everyone
halafu uje utujibu hapa wamesema 13% per month au per annum???
Huyu jamaa anataka kutufanya mazuzu wakati kila kitu kipo online, nahisi kasimuliwa hio ishu au ni braza wake ndio kanunua bond!
Mkuu, this is too good to be true! Sidhani kama umelielezea hili kwa usahihi. Interest rate haiwezi kuwa 13% kwa mwezi; it must be 13% per annum. Kwa maneno mengine, hakuna taasisi ya kifedha Tanzania inayoweza kukulipa riba ya takribani 156% kwa mwaka ilhali yenyewe inaweza kuikopesha kwingine hiyo hela kwa riba ya only 16% - 20% kwa mwaka.
Mi nikipiga hesabu za haraka harak naona kama utapata tsh 650,000/= kila baada ya miezi sita kwa investment ya Tshs million 10 which is more than ridiculous!
Hata ukisema tu ununue bodaboda moja ya 2m ukasave hizo 8m, ndani ya miezi sita kwa hesabu ya elfu15 kwa siku you will likely manage to make 450,000/= kwa mwezi mmoja na obviously 2.7m kwa miezi sita na hio ni kwa pikipiki 1 tu!
No disrespect, huo ni mtazamo wangu ambao i do think uko more practical!
Huyo jamaa hana uelewa juu ya hizo bonds, aidha anaskia kwa stori tu...Hizo ni biashara za watu wenye pesa ndefu ambazo wanaziweka kama savings. At least ukiwa na bond ya kuanzia 100G sio mbaya unaweza kuona faida kidogo kila muhula but sio kwa hela zetu za kubangaiza!Namimi napata shida kwenye hili pia. 13% ni asilimia 156 kwa mwaka riba yake. Ambayo ni abnormal profit kwa benk kukupatia.
Labda mdau hapo juu atufungue macho zaidi. Siyo katika hali ya kubisha lakini kupata knowledge zaidi kwenye hii kitu.
Cruzz, Ndio nmb walikuwa wanauza bond, ila muda umeisha nadhani ndani ya mwezi huu. Utaratibu ulikuwa unaweza kununua bond za kuanzia Tsh 500,000/- na kuendelea. Riba no 13% kwa mwaka ambayo wanakulipa 6.5% kila baada ya miezi sita. Nimeshangaa namna unavyoongea kwamba unapata 13% ya ulichowekeza kwa mwezi. Si hivyo, ni 13% kwa mwaka?
Lakini mbna unaweza kukopa bank pia .. na ukawalipa kwa riba hivyo hivyo