a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
Nakushauri nenda kanunue bond pale nmb bank kwa kutumia huo mtaji wako .. nd utakua unalipwa 13% kila mwezi .. so hela yako itakua safe haupati hasara zaid ya kupata faida ..
13% doubtful sina uhakika na taratibu za nmb cuz siyo mteja wao. Ila hii sio kweli hakuna benki inayoweza kukupa faida ya 156% per annum. Mostly ni 3%-6% annually.