Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 206
Mkuu, kwa style hii tutatoka kweli!!?Yah kumbe ushaisoma .. unajua watu hawapendi kufatilia hizi biashara za mabank .. mtu unapata capital unawaza kufuga kuku .. mwisho wake wanakufa na unafilisika kabisa ..
Ili tutoke lazima kwanza tuondokane na hizi fikra. Hivi unapomshauri mtu kununua hizo bond ambazo unakuja kupata gawiwo after six months hata kama ni accumulative, hiyo miezi sita unapokuwa unasubiria gawiwo unakuwa unafanya nini?
Haya ulotoa ni mawazo ya WASOMI, ambao ulimwengu huu ndo walio Masikini.
Uliwahi kuona MSOMI gani anayemiliki biashara kubwa duniani? Wafanya biashara na matajiri wakubwa duniani wana elimu ya kawaida au wengine hawajasoma kabisa. Wamefikia hatua hii ya utajiri mkubwa kwakuwa wao huwa hawaogopi kukatika mitaji.
Msomi yeyote hawezi kutajirika kwa kuwa huwa wanaogopa ku-take risk eti watapoteza mitaji.
You may take it or not.