Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

Yah kumbe ushaisoma .. unajua watu hawapendi kufatilia hizi biashara za mabank .. mtu unapata capital unawaza kufuga kuku .. mwisho wake wanakufa na unafilisika kabisa ..
Mkuu, kwa style hii tutatoka kweli!!?
Ili tutoke lazima kwanza tuondokane na hizi fikra. Hivi unapomshauri mtu kununua hizo bond ambazo unakuja kupata gawiwo after six months hata kama ni accumulative, hiyo miezi sita unapokuwa unasubiria gawiwo unakuwa unafanya nini?
Haya ulotoa ni mawazo ya WASOMI, ambao ulimwengu huu ndo walio Masikini.
Uliwahi kuona MSOMI gani anayemiliki biashara kubwa duniani? Wafanya biashara na matajiri wakubwa duniani wana elimu ya kawaida au wengine hawajasoma kabisa. Wamefikia hatua hii ya utajiri mkubwa kwakuwa wao huwa hawaogopi kukatika mitaji.
Msomi yeyote hawezi kutajirika kwa kuwa huwa wanaogopa ku-take risk eti watapoteza mitaji.
You may take it or not.
 
Huyu jamaa anataka kutufanya mazuzu wakati kila kitu kipo online, nahisi kasimuliwa hio ishu au ni braza wake ndio kanunua bond!
Mkuu, Wabongo huwa tunakurupuka bila detailed research na mwishowe tunaangukia puwa.
Sasa huyu jamaa anakomaa hapa na anamuaminisha mleta mada eti amekuwa akifanya na anapiga hela kiulaini tu.
Miye kani-bore zaidi pale alipotoa comment ya kupuuza wenye miradi ya Kuku. Lakini mleta mada atakuwa kajifunza jambo.
 
Achana nae kilaza huyo

Huo mtaji mkubwa sana nakushauri anza biashara ya kununua na kuuza mazao hasa mahindi kutoa mkoani na kupeleka dar. Hivi karibuni nilikuwa mbeya unaweza kununua mahindi kwa bei ya 40,000-45,000 kwa gunia la kilo 100.pamoja na usafiri inaweza fika 50,000.Bei ya kuuzia ni 55,000 hadi 60,000 dar kwa wauza sembe.
 
acha kuwaongopea watu mkuu yani una unawaingiza watu chaka nina mashaka hata kama wewe mwenyewe hizo bond umenunua maana hujui ulisemalo
 
Akili za viazi, Reducing JF to a pool of mad-men. Hamjipi hata nafasi ya kufikiria. JPM naona amewafix kwelikweli mpaka hamjitambui. Eti 13% interest per month!
 
Hilo lingekuwa rahisi hivyo si tungekuwa wote tunanunua hizo bond
lakini cha ajabu zimenunuliwa bond option zote na bond offering ilishafungwa... bond was oversubscribed by 100% over what was approved by Dar Stock Exchange.

Lakini rate wise uko sawa, it is 13% per annum. Bado sielewi kwa nini watu waliirukia sana kwa sababu uki invest milioni 10 halafu baada ya mwaka upate milioni moja laki tatu faida, hiyo shilingi itakuwa haijashuka? In other words, simenti matofali na nondo za milioni 10 leo mwaka kesho zinaweza kuwa millioni 12 ... umekula hasara!

And keep in mind hiyo faida inakatwa withholding tax pamoja na securities transaction tax (new law from this budget, na hapo mshukuru Hussein Bashe aliyepinga na kukubaliwa isiwepo capital gains tax on top of that!!!...) Kwa kweli sielewi kwa nini watu wameivamia hiyo bond option...
 
Uko katika mazingira gani kimaisha?

Kama uko sehemu ambapo kuna ardhi, nakushauri ulime au ufuge kuku wa kienyeji .....
Ukitaka mchanganuo wa kufuga kuku wa kienyeji nambie nikutengenezee bure. .. faida utaanza kuipata siku moja baada ya kuanza .. si utani na ndani ya miezi mitatu utakuwa umerudisha pesa yako na utaendelea kupata faida tu ... ila lazima ukubali kujitoa kufanya kazi.
 
Dar es Salaam, May 9, 2016….National Microfinance Bank Plc (NMB) is issuing a 13% interest bond aimed at everyone who wishes to invest in NMB and earn an attractive return. This is the first such bond to be issued by NMB and can be bought from any NMB branch or selected bond brokers with a minimum purchase of TZS 500,000 (Five Hundred Thousand Tanzanian Shillings).This move is a result of the Capital Markets & Securities Authority (CMSA) granting approval to issue the first tranche of the NMB Plc Medium Term Note (MTN) Programme. Investors in the NMB Retail Bond will earn an interest rate of 13% per annum payable half yearly for its term of three years, until June 2019; the interest rate paid is subject to withholding tax. An NMB bond is tradable, so you can sell the bond to another buyer and receive the principal before the maturity date. Investors can sell the bond before maturity on the open market through a stockbroker – in accordance with the Dar es Salaam Stock Exchange rules.
 
lakini cha ajabu zimenunuliwa bond option zote na bond offering ilishafungwa... bond was oversubscribed by 100% over what was approved by Dar Stock Exchange.

Lakini rate wise uko sawa, it is 13% per annum. Bado sielewi kwa nini watu waliirukia sana kwa sababu uki invest milioni 10 halafu baada ya mwaka upate milioni moja laki tatu faida, hiyo shilingi itakuwa haijashuka? In other words, simenti matofali na nondo za milioni 10 leo mwaka kesho zinaweza kuwa millioni 12 ... umekula hasara!

And keep in mind hiyo faida inakatwa withholding tax pamoja na securities transaction tax (new law from this budget, na hapo mshukuru Hussein Bashe aliyepinga na kukubaliwa isiwepo capital gains tax on top of that!!!...) Kwa kweli sielewi kwa nini watu wameivamia hiyo bond option...

Wanaziweka hela kwenye bond kwa vile ni almost zero risk na guaranteed returns ya 13%, kwenye biashara na investment karibia zote zengine daima kuna risk sio tu ya kutopata faida bali hata kupoteza mtaji ule original.

Bond inawafaa zaidi watu ambao wana kazi 9-5 na wanakosa muda wa kufuatilia masuala ya biashara pia ambao hawategemei hiyo hela kuendesha maisha yao ya kila siku.

Pia unapofanya investment ni vizuri kuwa na mchanganyiko wa risk so sio hela yote uiweke kwenye bonds na sio yote uiweke katika biashara au hisa.
 
Me kwa hali ya sasa hata sikushahuri aisee acha kwanza huu upepo upite
Kama hutojali kampe kimei akuwekee kwenye fixed account maana ye ndo anajua kutunza pesa za watu
Watamkata..
Bora azichimbie uvunguni kwanza
 
Nipo kaka majukum tu ndugu yangu,ila nipo.
Wewe ndio umeadimika Zaidi
Naona jamaa anapesa ila hajui afanye nini,ndio namshauri kabla hajatapeliwa hapa aende kwenye sticky uzi kule kuna maelezo ya kila mradi na umeelezwa kwa kina sana.
uzi gani hebu tujuzane
 
Nunua kibasi used nenda njia za pembezoni ya jiji la Dar
Kama hutajali nauli uwe unakusanya mwenyewe
 
lakini cha ajabu zimenunuliwa bond option zote na bond offering ilishafungwa... bond was oversubscribed by 100% over what was approved by Dar Stock Exchange.

Lakini rate wise uko sawa, it is 13% per annum. Bado sielewi kwa nini watu waliirukia sana kwa sababu uki invest milioni 10 halafu baada ya mwaka upate milioni moja laki tatu faida, hiyo shilingi itakuwa haijashuka? In other words, simenti matofali na nondo za milioni 10 leo mwaka kesho zinaweza kuwa millioni 12 ... umekula hasara!

And keep in mind hiyo faida inakatwa withholding tax pamoja na securities transaction tax (new law from this budget, na hapo mshukuru Hussein Bashe aliyepinga na kukubaliwa isiwepo capital gains tax on top of that!!!...) Kwa kweli sielewi kwa nini watu wameivamia hiyo bond option...

Wengi wamekurupuka kusikia faida bure bila kushughulisha akili, walilimbukia promo za clouds fm zakina E. Kimlima sasa kazi ni kwao kuja kustaajabu matokeo ya investment walofanya!
 
Huo mtaji mkubwa sana nakushauri anza biashara ya kununua na kuuza mazao hasa mahindi kutoa mkoani na kupeleka dar. Hivi karibuni nilikuwa mbeya unaweza kununua mahindi kwa bei ya 40,000-45,000 kwa gunia la kilo 100.pamoja na usafiri inaweza fika 50,000.Bei ya kuuzia ni 55,000 hadi 60,000 dar kwa wauza sembe.
Hii biashara ni nzuri kwa wazoefu mkuu, simshauri jamaa afanye maana anaonekana newbie kabisa isije ikamfanya chapati ghafla akabwia sumu...
 
lakini cha ajabu zimenunuliwa bond option zote na bond offering ilishafungwa... bond was oversubscribed by 100% over what was approved by Dar Stock Exchange.

Lakini rate wise uko sawa, it is 13% per annum. Bado sielewi kwa nini watu waliirukia sana kwa sababu uki invest milioni 10 halafu baada ya mwaka upate milioni moja laki tatu faida, hiyo shilingi itakuwa haijashuka? In other words, simenti matofali na nondo za milioni 10 leo mwaka kesho zinaweza kuwa millioni 12 ... umekula hasara!

And keep in mind hiyo faida inakatwa withholding tax pamoja na securities transaction tax (new law from this budget, na hapo mshukuru Hussein Bashe aliyepinga na kukubaliwa isiwepo capital gains tax on top of that!!!...) Kwa kweli sielewi kwa nini watu wameivamia hiyo bond option...
Wabongo waliowengi ni wavivu mkuu, wanapenda vya mteremko so inapotokea issue yoyote yenye kuonyesha kuleta hela kirahisi Mbongo anakurupuka tu bila hata kutafakari vema. Yawezekana watu wamekurupukia hizo bond wakidhani ni 13% per month, subiria watakapoanza kushangaa.
Unawezaje kuwekeza 10mil usubirie return ya 1.3mil kwa mwaka!!?
 
Back
Top Bottom