Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

Unawezaje kuwekeza 10mil usubirie return ya 1.3mil kwa mwaka!!?
Exactly my point...

Kwanza hela yako itakuwa imeshashuka thamani I am telling you. Utawekaje milioni 10 usubiri milioni moja laki tatu mwaka mzima? Doesn't add up.
 
Habari ndugu.Nina kiwanda ambacho natafuta mwekezaji mfanyabiashara ambaye ana milioni 10-20 ambapo unaweza kupata faida ya mil 2-3 kwa mwezi
 
Wabongo waliowengi ni wavivu mkuu, wanapenda vya mteremko so inapotokea issue yoyote yenye kuonyesha kuleta hela kirahisi Mbongo anakurupuka tu bila hata kutafakari vema. Yawezekana watu wamekurupukia hizo bond wakidhani ni 13% per month, subiria watakapoanza kushangaa.
Unawezaje kuwekeza 10mil usubirie return ya 1.3mil kwa mwaka!!?
Nina kiwanda changu tanga ambacho ninatafuta mwekezaji ambae atatoa ml 10-20 ambapo atapata faida kwa mwezi ml2-3
255b45425af623f2022aa4a40b7599a0.jpg
 
Habarini za jioni waugwana..

Ninapenda kutanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakaenisaidia.

Ndugu zangu nina shida ambayo naamini wataalamu wa biashara wanaweza kunisadia- Katika kipindi hichi kigumu kwa wafanyabiashara walio wengi, Ningependa kuomba ushauri na msaada wa wazo la bishara gani nifanye.

Ninataka nifanye biashara lakini mtaji wangu nikama 10-18 Milioni- Wataalamu mnisaidie, ni Biashara gani nawezakufanya na ikanipa matokeo chanya kwa mda mfupi??

Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.
Kuwa makini na upokee ushauri tu. Kuna matapeli humu.
 
Muda mfupi ni siku, wiki, miezi au miaka mingapi? Kwa 15m unaweza enda kununua vitunguu maji gunia 300 mwezi wa 8-9, unavitunza hadi December. Wakati wa kuuza hutokosa 50,000 kama faida kwa kila gunia, so you are likely to make between 12-14m kama faida. VIGEZO NA MASHARTI YAZINGATIWE.

Aisee. Hili ni bonge la wazo. Azingatie ushauri
 
Nakushauri nenda kanunue bond pale nmb bank kwa kutumia huo mtaji wako .. nd utakua unalipwa 13% kila mwezi .. so hela yako itakua safe haupati hasara zaid ya kupata faida ..
Mkuu hivi fixed deposit account ikoje
 
Mkuu, this is too good to be true! Sidhani kama umelielezea hili kwa usahihi. Interest rate haiwezi kuwa 13% kwa mwezi; it must be 13% per annum. Kwa maneno mengine, hakuna taasisi ya kifedha Tanzania inayoweza kukulipa riba ya takribani 156% kwa mwaka ilhali yenyewe inaweza kuikopesha kwingine hiyo hela kwa riba ya only 16% - 20% kwa mwaka.
You are very right mkuu. Kwa kifupi huyu jamaa yete hajaelewa vizuri hiyo biashara ya bond 2a NMB.

out of common sense bank hai wezi Kukupa riba ya 156% per annum ilhali yenyewe haiwezi tengeneza hizopesa
 
Uko katika mazingira gani kimaisha?

Kama uko sehemu ambapo kuna ardhi, nakushauri ulime au ufuge kuku wa kienyeji .....
Ukitaka mchanganuo wa kufuga kuku wa kienyeji nambie nikutengenezee bure. .. faida utaanza kuipata siku moja baada ya kuanza .. si utani na ndani ya miezi mitatu utakuwa umerudisha pesa yako na utaendelea kupata faida tu ... ila lazima ukubali kujitoa kufanya kazi.
Naomba unitengenezee hiyo ndo plan yangu boss 0758 393 393 innocentblandina@gmail.com
 
Habarini za jioni waugwana..

Ninapenda kutanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakaenisaidia.

Ndugu zangu nina shida ambayo naamini wataalamu wa biashara wanaweza kunisadia- Katika kipindi hichi kigumu kwa wafanyabiashara walio wengi, Ningependa kuomba ushauri na msaada wa wazo la bishara gani nifanye.

Ninataka nifanye biashara lakini mtaji wangu nikama 10-18 Milioni- Wataalamu mnisaidie, ni Biashara gani nawezakufanya na ikanipa matokeo chanya kwa mda mfupi??

Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.
Nitafute tarehe 6/7/2016 takuwa Tz nikupeleke Kampala ukachukue vipodozi vya ukweli. Jihesabu u tajiri mtalajiwa labda wachawi wafanye yao.
 
Muda mfupi ni siku, wiki, miezi au miaka mingapi? Kwa 15m unaweza enda kununua vitunguu maji gunia 300 mwezi wa 8-9, unavitunza hadi December. Wakati wa kuuza hutokosa 50,000 kama faida kwa kila gunia, so you are likely to make between 12-14m kama faida. VIGEZO NA MASHARTI YAZINGATIWE.
Vitunguu haviozi?
 
Kinahusika na sheet na pia mifuko
Ni mpango mzuri mkuu ila juzi Bunge limepitusha sheria ya kuzuia kabisa uingizaji ama uzalishaji wa plastic products kama mifuko sasa sijajua itakuwaje kwa wenye viwanda hivi ambavyo tayari ni operational.
 
Muda mfupi ni siku, wiki, miezi au miaka mingapi? Kwa 15m unaweza enda kununua vitunguu maji gunia 300 mwezi wa 8-9, unavitunza hadi December. Wakati wa kuuza hutokosa 50,000 kama faida kwa kila gunia, so you are likely to make between 12-14m kama faida. VIGEZO NA MASHARTI YAZINGATIWE.
SWOT analysis ni muhimu kabla ya kuingia kwenye hiyo biashara. Biashara nyingi zina siri kubwa ambazo mimi na wewe hatuzijui kiundani, huwa tunazijua kwa kama asilimia 20 hivi. Ushauri wangu ni kuwa chukua muda(wewe binafsi) kufikiria bishara gani badala ya kufikiria watu wakuambie ufanye bishara gani. So take care.
 
Ni mpango mzuri mkuu ila juzi Bunge limepitusha sheria ya kuzuia kabisa uingizaji ama uzalishaji wa plastic products kama mifuko sasa sijajua itakuwaje kwa wenye viwanda hivi ambavyo tayari ni operational.
Serikali walikua wametoa mda mpaka mwakani January 1 ila baadae wakaona hakuna njia mbadala walio ipata wakaamua watoe viwango maalum(geji50) ambayo ni migumu inayoweza kutumika zaidi ya maramoja.hata hivyo bado viwanda vinaendelea kutoa hasa kwa dar mifuko ya Rambo ile mikubwa
 
Yes upo sawa, tatizo ni for how long mifuko ya plastic itaendelea kuzalishwa hapa nchi. Serikali wana encourage eco friendly products hasa hii mifuko.
 
Mifuko itaendelea ila kwa viwango vya serikali inayotaka.kusimamisha luzalisha mifuko sio kwamba mazingira ndio yatakua safi ila utunzaji wetu ndio utafanya mazingira yawesafi
 
Back
Top Bottom