Gulf Streamer
Member
- Aug 7, 2014
- 90
- 40
- Thread starter
-
- #21
Kuna kuona fursa na kuambiwa fursa, what matters is profit in the business, pia kuona fursa ya eneo husika hutegemea namna gani unalijua hilo eneo vizuri.Mfanyabiashara anaona fursa, haambiwi fursa.
Kuna kuona fursa na kuambiwa fursa, what matters is profit in the business, pia kuona fursa ya eneo husika hutegemea namna gani unalijua hilo eneo vizuri.
Ukiona fursa ni tofauti na kuambiwa.
Huwezi kuiga idea, invent yours.
So that you may grow with it.
kwanza karibu sana Mwanza anzisha microfinance inalipa sana hapa Mwanza hasa wekeza kwa kina mama kupitia vikundi vyao CBO
Nta ku pm mkuu nikifika hukokaka karibu kwanza Mwanza zipo nyingi karibu ofisini kwetu pia hapa mwanza
Mkuu tambua tofauti iliyopo kati ya ujasiliamali na kufanya biashara.
Jua tu sipo kwenye entrepreneurship, nataka fanya biashara kwa hiyo fedha iweze izunguke ikue. Fursa za entrepreneurship zipo hata hapa dsm, na nazifanyia kazi, ila nishazoea kujiongezea kipata, sasa hata huko nnapoenda nataka jishughulisha zaidi ya ajira inayonipeleka.
Jua kwamba kuona fursa hadi kufanyia implementaion ya hiyo fursa it takes time and there are failure chances and am not into that, atleast for now. Though kama ntavutiwa na kitu nikiwa huko ntajua mwenyewe maamuzi ntayochukua.
NipmNnatarajia kuanza maisha mapya Mwanza kama muajiriwa. Sasa nnataka jua naweza fanya biashara gani Mwanza kwa mtaji usiozidi 10 million?
Bei Ya Kilo 4500 - 6000 ... Inategemeana Na Wewe Mwenyewe Unataka Kufugia Maeneo Gani ... Kuhusu Wizi Ni Kuimarisha Ulinzi Tu ...Nguruwe kilo wanauzaje machinjioni huko?
Pia upatikanaji wake upo vipi kwa sasa?
Maeneo gani ni mazuri kwa ufugaji wa nguruwe?
Vipi wizi wa Nguruwe huko?
GEITA FARM
Kuhusu Malimbe Ukifungua Mghahawa Inafaa ... Kwa Ukerewe Na Ukara Biashara Ya Dagaa Na Kilimo inafaa ...vipi kuhusu real estates agents (kuuza, kupima na kupangisha?), vipi biashara ya kupokea watalii? kuna opportunities gani hapo malimbe?
kuna opportunities gani ukerewe?
kuna opportunities gani ukara?
belionea
GEITA FARM
brenda18
kuuuu
Tutor B
mwenye shamba
Naomba kujua ofisi zenu zilipo na mawasiliano yenu,Niko mwanza pia.asantekwanza karibu sana Mwanza anzisha microfinance inalipa sana hapa Mwanza hasa wekeza kwa kina mama kupitia vikundi vyao CBO
Mnapatikana maeneo yapi na mnadeal na nini nije?kaka karibu kwanza Mwanza zipo nyingi karibu ofisini kwetu pia hapa mwanza
huku malimbe biashara ya mgahawa itabuma tu, yeye bora aangilie biashara nyingine tu.Kuhusu Malimbe Ukifungua Mghahawa Inafaa ... Kwa Ukerewe Na Ukara Biashara Ya Dagaa Na Kilimo inafaa ...