Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

Mzeee hapo hasa ni duka la jumla au vipodoz utanambia
 
Tunatumia Mbegu Za Asili ... Tumekodi Mashamba Maeneo Ya ... Bulela ... Nyawilimilwa ... Na ... Kagu ...
Nikipata mda niruhusu nije nikutembelee nijionee mwenyewe, naweza kujifunza kitu kilimo cha mpunga
 
Back
Top Bottom