Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Shalom,

December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.

Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na ushindani wa kibiashara sitaweza kutoa location ya kituo kilipo.

Shukrani.
 
Hii nimeona Batuli ameuliza kule Twitter kasome comments
Screenshot_20230116-052718_Twitter.jpg
 
Shalom,
December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.

Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na ushindani wa kibiashara sitaweza kutoa location ya kituo kilipo. Shukrani

Stationery, photocopy, vi bites
 
Back
Top Bottom