Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

Shalom,

December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.

Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na ushindani wa kibiashara sitaweza kutoa location ya kituo kilipo.

Shukrani.
PHOTOCOPY
 
Fungua Stationary, huduma za kifedha, jifunze kudawnload loss report na Tin mtandaoni na kufanya malipo mbalimbali ya serikali wateja wako wengi watakuwa wahitaji huduma pale police
Welldone mkuu ushauri huu ni super, karibu sana huku lingusenguse, utalii wa ndani ni mzuri mno kwa uchumi wa nchi yetu, fika hadi Songea mjini then Nkanini atakufuata pale, tufanye pamoja utalii wa ndani kuanzia mbambay hadi huku lingusenguse, Nkanini ata cover hizi costs
 
umemalizaaaa....tena loss report unatoa kwa elfu 3
 
Shalom,

December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.

Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na ushindani wa kibiashara sitaweza kutoa location ya kituo kilipo.

Shukrani.
Saloon ya kiume, stationary hii ndio haswaa, na chakula hua hakikwepeshi
 
Nipo Mtwara now wakati napita nitapita hapo Songea

Back
Top Bottom