Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

Shalom,

December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.

Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na ushindani wa kibiashara sitaweza kutoa location ya kituo kilipo.

Shukrani.
Uza msuba
 
Back
Top Bottom