Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huenda yeye ndo batuliHii nimeona Batuli ameuliza kule Twitter kasome commentsView attachment 2482923
hahahahaHuenda yeye ndo batuli
Good, Wacha nione. Ila comments zinakatisha tamaaHii nimeona Batuli ameuliza kule Twitter kasome commentsView attachment 2482923
Dah, nitake radhi MpwaHuenda yeye ndo batuli
Blessed, 🙏Piga kolabo la mgahawa na stationery....
- Biashara ya chakula na vinywaaji.Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo,
Shalom,
December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato.
Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na ushindani wa kibiashara sitaweza kutoa location ya kituo kilipo. Shukrani
Photocopy na shajaraUza michemsho tu hapo
Wanakopa??Stationary bhasiiiii...ukiwaza nje kidogo labda mgahawaaa sema makoplo watakulaa buree ohooi