Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

uza ushaidi wakuwapeleka watu gerezani.kama bangi,madawa,silaha na simu za wizi
 
Huduma ya kuprint Loss report, photocopy, passport size, huduma za M-pesa, hakikisha una huduma ya kufanya malipo serikali kwa kuwa na POS za benk mfano CRDB! Kwa kifupi stationery iliyokamilika with huduma za ziada. Usikubali kumkopesha askari polisi!!!
 
Uza mikate, maji, soda, sabuni yaani mahitaji ambayo mahabusu wanayahitaji. Ndugu zao lazima watawanunulia tu
 
Uza ndom za kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…