Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Naomba unicheki mkuu 0783386653
 
Kuna hilo tangazo la kijani BOND toka CRDB,ukiwekeza unapata riba ya 10.25%.Kwa mwaka unapata 102.5M Kama faida kwa miaka 5 utapata 512,500,000/= wakati huo ushafikiri mradi upi wa kuwekeza.
Hii ni Risk free,na haihitaji usimamizi, mtaji wako utabaki salama na faida juu
 
Nunua roli za kokoto na mchanga kisha nunua crasha za kusaga kokoto na changarawe lugoba,
Tafuta yadi mbagala,tegeta nk uwe unamwaga mzigo au ingia ubia na makampuni ya kutengeneza zege uwauzie kokoto.
Au kampuni za ujenzi
Trip moja ya kokoto inauzwaje? Unahitaji kiasi gani kuanza?
 
Elezea zaidi, kwamba anunue malori ya mizigo au? Tupe mchanganuo
Aaagzie used semi trailer tano kuotka Uk mpka bongo kama 70mill kwa kichwa total 350mill

Na semi trailer 5 kama 150 mill

So kwa mill 500, atakuwa na logistic comapany yenye uwezo wa kufanya safari za nje, zambia, congo burundi rwanda uganda n.k

Kwa mwaka anapata zaidi ya hiyo mia tatu.

Hiyo mil 500 nyingine akaweke fixed deposit bank
 
Bei ya mzigo kwenda Zambia ni Sh ngapi?
 
CBD oil na byproducts zake.
Apply license katika nchi za kusini, South Africa au Zimbabwe.
Kiasi fulani Kwa ajili ya lobbying na ushawishi,
then setup greenhouses zako.
Kilimo Cha cannabis ni business itayo guarantee faida zaidi ya hiyo hasa kama utafanya legally.
 
Connection ya mizigo si ya kitoto plus madereva pasua kichwa ukisikia tu simu ya dereva pressure juu lazima upaki kwanza uchelewi kuambiwa boss chungulia wasap
 
Connection ya mizigo si ya kitoto plus madereva pasua kichwa ukisikia tu simu ya dereva pressure juu lazima upaki kwanza uchelewi kuambiwa boss chungulia wasap
Biashara zote zina changamoto, ni utayari ndio unahitajika swala la kudili na madereva ajali ni vitu vya kawaida kwenye vyombo vya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…