Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Naona hakuwa anaelewa alipozungumzia swala la kutengeneza brand yake ya dawa.Mkuu, nilimaanisha ulichokisema hapo.
Kuna jamaa wapo pale dodoma ndio wanafanya hivyo;
*Wana-import wenyewe
*Wana wholesale pharmacies, ambazo zinatumika ku-supply kwenye maduka madogo ya dawa.
*Wana 1. Kituo cha afya
2. Specialist clinic,
vyote dodoma, ambapo wana jiuzia dawa
*Wanamiliki chuo cha kati, wanafunzi wakiumwa wanapelekwa kwenye kituo chao cha afya au specialist clinic, ambapo mwisho wa siku wanapewa dawa kutoka hapo juu, jamaa wana-make super profit.
Wamejitengenezea ka mduara fulani hivi kwenye biashara yao.
Kutengeneza brand yako ya dawa ni shughuli pevu [emoji1544]
Hiyo ni shughuli pevu, kiasi kwamba 1B itageuka kuwa si chochote tena.