Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mazingira ya biashara Tanzania (tuseme kwa nchi zinazoendekea) ndiyo yanasababisha biashara zife ama kudorola chanzo chake ni jamiii kunyamaza kwakupokea hata sera ambazo hazina tija. Huwezi kupanga namna ya kuendeleza biashara yako kwa sera ambazo hazina muelekeoWazo sahihi kabisa, maana iyo B uitumbikize mtaani Tra wamekuangalia, manispaa wapo hapo mala fire mala wafanyakazi wanataka kutokea hapo yani kwa mwaka utakuta imebaki 500M na faida amna, mazingira ya biashara Tz sio rafiki hata kidogo