Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Wazo sahihi kabisa, maana iyo B uitumbikize mtaani Tra wamekuangalia, manispaa wapo hapo mala fire mala wafanyakazi wanataka kutokea hapo yani kwa mwaka utakuta imebaki 500M na faida amna, mazingira ya biashara Tz sio rafiki hata kidogo
Mazingira ya biashara Tanzania (tuseme kwa nchi zinazoendekea) ndiyo yanasababisha biashara zife ama kudorola chanzo chake ni jamiii kunyamaza kwakupokea hata sera ambazo hazina tija. Huwezi kupanga namna ya kuendeleza biashara yako kwa sera ambazo hazina muelekeo
 
Milioni mia tatu Kwa mwaka ni sawa na milioni 25 Kwa mwezi na ni sawa na laki 8.34 Kwa siku. Inawezekana!
 
.kwa mtaji wa 1B kisha ukafungua wholesale pharmacy ambayo mwenye 100M nae anaenda fungua m naona sio sawa, na ndo mana nikasema it is better ajikite kwenye importation ya drugs, awe anawasambazia wholesalers, ikiwezekana achukue uagent wa kiwanda fulani cha china/Vietnam au India awe analeta drugs zao hapa,

Kama tu kina GSM na Haier au Mo na LG sema wew unakuwa upande wa drugs
Mtaji wa 100M kufungua wholesale pharmacy ni uongo (hautaweza kuhudumia).

Ukitaka kutoboa kwenye biasha ya madawa, ubahatike kuwa wakala wa kikanda wa pharmaceutical companies za maana kama Shelys na nyinginezo (sanasana shelys maana hao hawajau kuleta dawa sokoni ikafeli), angalia dawa kama AZUMA waliyoileta hivi karibuni, nani haijui?

Kuliko kupigania kujenga brand kwa 1B (ambayo ni ngumu), ni bora kufukuzia uwakala.
 
Elezea zaidi kuhusu Shelly's, unawajua Regal pharmaceutical wa Kenya?

Kuna faida zipi kuwa wakala na kuna risk zipi kuleta brand mpya sokoni?
 
Mtaji wa 100M kufungua wholesale pharmacy ni uongo (hautaweza kuhudumia).

Ukitaka kutoboa kwenye biasha ya madawa, ubahatike kuwa wakala wa kikanda wa pharmaceutical companies za maana kama Shelys na nyinginezo (sanasana shelys maana hao hawajau kuleta dawa sokoni ikafeli), angalia dawa kama AZUMA waliyoileta hivi karibuni, nani haijui?

Kuliko kupigania kujenga brand kwa 1B (ambayo ni ngumu), ni bora kufukuzia uwakala.
Yeah na ndo nilichomshauri, apambane awe wakala wa drugs ila sio kuleta wholesaler pharmacy
 
Nimecheka sana baada ya kusoma comments zote [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeamini matapeli ni kama maji kuwakwepa kazi
 
Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Wekeza kwenye hisa za hati fungani, nmb, crdb, utt amis, Kama umewekeza 1b , basi Kwa mwenzi 1 utakuwa unapewa 10m, Kwa mwaka 120m , alafu uhakika bila kufanya Kazi , ni pesa ndio inayofanya Kazi .
 
Dawa za hospitali za binadamu.

Tatufa kanda yako katika nchi hii, ambako ushindani sio mkubwa sana. Fungua Pharmacy, uza kwa jumla, wasambazie wenye maduka ya dawa, vi-discount vya hapa na pale.

Ikiwezekana unafungua na maduka ya dawa baridi za binadamu katika maeneo yenye tija, unakuwa unajisambazia.
Hii ni uhakika asilimia 100 maana huduma ya madawa bado haijasambaa kwenye wilaya zote na vijiji vyote Tanzania,lakini ukiachilia mbali pharmacy pia kuna biashara ya zahanati/hospitali haina upinzani ni uhakika.
Nimeshuhudia mifano ya watu kadhaa ambao walianzisha zahanati miaka ya nyuma na sasa hivi ni mamilionea wanaelekea kwenye ubilionea.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya mabus unapata pesa hio pesa lakini hii biashara inawafaa vijana umri ukienda Jenga za kupangisha utu mabus utakufa siku si zako
Hii ni ukweli kabisa imagine uko zako nyumbani umetulia unapiga hesabu za makusanyo unapigiwa simu gari yako imetekwa Congo na ilijaza mzigo wa mtu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo pesa inafaa uwekeze Baharini ndani ya mwaka utapata faida kubwa.

Hapo inabidi twende cyprus au ugiriki ununue meli(Land Craft) za kubeba angalau tani 100. Kule zilizotumika unapata kwa 350 mpaka 400million. Zikija moja kwa unafanya biashara ya kubeba mizigo ya Dar Comoro au Dar kwenda Madagascar.

Au jenga boti 2 za uvuvi za 250m, kisha tafuta eneo jenga cold room moja na sehemu ya kukaushia samaki kwa umeme au gesi na jua. Pesa nyingine inayobaki nunua Fuso au Scania 94D yenye body ya refrigerator. Mutukula Uganda, Rwanda na Burundi gari ikifika mzigo unachukuliwa na kugeuza.

Samaki na dagaa wa kukaushwa wakongo watakufata wenyewe uwafungie mzigo
Dah kuna watu mko na michanganuo mikali sana ya biashara sema ishu mitaji tu.
Inaonekana Bongo hakuna project kama hii bado

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Nunua shamba la heka 20
Zungusha uzio
Chimba kisima
Jenga mabanda
Fuga nguruwe wa kisasa
Ni kama broiler
Jenga kijumba cha vyumba kadhaa
Kwaajili ya wafanyakazi kadhaa
Watakaoishi hapo shamba
Nguruwe wa kisasa hukuwa haraka na wana soko pia kuanzia mbegu mpaka kwa wachinjaji
Panda mazao hapo shambani kwaajili ya chakula cha nguruwe na kingine utakuwa unanunua
Nunua nguruwe ambao wamefikia kupandwa
Ukianza na nguruwe 100 siyo mbaya

Ambao kila nguruwe unaweza kununua kwa milioni na nusu
mpaka milioni mbili

Nguruwe anakaa na mimba miezi minne kasoro
Nguruwe mmoja anaweza kuzaa watoto zaidi ya kumi
Kwa hiyo before mwaka kuisha utakuwa na nguruwe zaidi ya elfu1
Unaweza kuuza mbegu yani wakiwa bado wadogo kama miezi 3 hivi wakimaliza kunyonya unawaweka sokoni
Wa kisasa wanakuwa haraka hawali sana
Wakienyeji wanakula sana na wanakuwa kidogo
Nguruwe wa kisasa wa miezi mitatu ni kama wa miezi sita kienyeji kwahiyo kienyeji ni hasara
Nguruwe wa miezi mitatu unaweza kumuuza hata laki nne na kuendelea
Nguruwe wa kufaa kula ni kuanzia miezi6 na kuendelea
Pia katika wafanyakazi wako ajiri mtaalamu/daktari wa kilimo/ ufugaji
Awe ndiyo kiongozi wa hawa wafanyakazi wengine utakao kuwa nao ili mambo yaende vizuri
Unaweza kutumia nusu au chini ya nusu ya hiyo hela kwenye hizo vurugu zote
umesema kitu kitu kinachowezekana... Ila anapotaka kuanzia ni mlima wa juu sana, kuanguka ni rahisi na moja moja, huamki tena.... Anza na mtaji kidogo kwa plan hiyo hapo juu, halafu uscale kadri itakavyokuwa inawezekana.
 
Wazo sahihi kabisa, maana iyo B uitumbikize mtaani Tra wamekuangalia, manispaa wapo hapo mala fire mala wafanyakazi wanataka kutokea hapo yani kwa mwaka utakuta imebaki 500M na faida amna, mazingira ya biashara Tz sio rafiki hata kidogo
Hivi hawa fire huwa wanachukua hela za nini ilikiwa shirika lao ni la kipumbavu vile kila wanapohitajika kutoa huduma.?

Tz ni nchi ya kijinga sana...!
 
Back
Top Bottom