MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
NAKAZIABiashara uliyoifanya ikakuingizia hiyo B1, ndo unayopaswa kuendelea nayo.
Uwekezaji kwenye bank sip risk free ikifirisika mtapewa laki lakiKuna hilo tangazo la kijani BOND toka CRDB,ukiwekeza unapata riba ya 10.25%.Kwa mwaka unapata 102.5M Kama faida kwa miaka 5 utapata 512,500,000/= wakati huo ushafikiri mradi upi wa kuwekeza.
Hii ni Risk free,na haihitaji usimamizi, mtaji wako utabaki salama na faida juu
Namkubali hili. Ukiwa na hela fursa ni nyingi sana tofauti na ukiwa huna. Kama uko siriaz kwanza fikiria kumiliki kampuni itakayokuwa na uwezo wa kudistribute bidhaa au huduma kwa kampuni nyingine.Bilioni 1 ukitulia unaweza zalisha bilioni 2 ...Kwa mwaka ...lakini utulie
Ikiwa kampuni hawez feli mana kupambana na competition ni kazi ya marketing officers wakeKitu cha kwanza unapotaka kufanya biashara yoyote ile ni lazima uijue kwa kufanya utafiti wa masoko bila kusahau wapinzani wako competitors, (market research and competitive analysis)
CRDB ifilisike? Umeangalia taarifa zake za kifedha?Uwekezaji kwenye bank sip risk free ikifirisika mtapewa laki laki
Kuanzia laki 7 Lori kubwa, semi si chini ya milioni moja..
Kufunga crushers angalau uwe na milioni 200 kuanzia
Mbona kama Hao vijana ndo wewe Mwenyew naona umemshauri kiitelijensiaKuna vijana wa ovyo watakuja hapa kukushauri utafute odds ya 1.3
Hii ya kupeleka mizigo Comoro na Madagascar kwa trip moja Meli ya tani 100 unapata faida kiasi gani? vp kuhusu mizigo ya kurudi? au unarudi tupu na kama unarudi tupu si hasara hiyo? namaanisha mafuta unayochoma kurudi bila mzigoHiyo pesa inafaa uwekeze Baharini ndani ya mwaka utapata faida kubwa.
Hapo inabidi twende cyprus au ugiriki ununue meli(Land Craft) za kubeba angalau tani 100. Kule zilizotumika unapata kwa 350 mpaka 400million. Zikija moja kwa unafanya biashara ya kubeba mizigo ya Dar Comoro au Dar kwenda Madagascar.
Au jenga boti 2 za uvuvi za 250m, kisha tafuta eneo jenga cold room moja na sehemu ya kukaushia samaki kwa umeme au gesi na jua. Pesa nyingine inayobaki nunua Fuso au Scania 94D yenye body ya refrigerator. Mutukula Uganda, Rwanda na Burundi gari ikifika mzigo unachukuliwa na kugeuza.
Samaki na dagaa wa kukaushwa wakongo watakufata wenyewe uwafungie mzigo
Acha utapeli ndugu swali limewekwa public wewe unataka faragha ya nini? tupo wengi tunaofwatilia haya mawazo...kama una wazo weka hapa... mbona waungwana mawazo yao yako wazi? kama angetaka PM na yy asingetaka mawazo kwa JF members publicNicheki PM.
How?Kwa mtaji wa B1 mil 300 ni hela ndogo sana kuongiza kwa mwaka mzima
Biashara ya electronics unaweza ingiza faida ya hata 2b kwa mwaka uki invest 1B
WEKA WAZO HAPA hadharani wazo lilipoombwa... acha utapeliNaomba unicheki mkuu 0783386653
Yapo maeneo Yana mawe meusi yaani granite,pwani ya kupakana na morogoro unaenda wizara ya madini kupata vibali na muongozo baada ya kujadiliwa na kijiji,zipo crusher za aina mbili mobile na zisizo mobile Zaid check China Bei uendana na uwezo wa kusaga mawe kwa tani.Hapo mawe anayosaga ananunua wapi?Ni kiasi gani kinahitajika kupata Tani moja ya kokoto?
Kwenye hiyo gari ya laki 7 faida ni sh ngapi?
Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Ilifirisika Silicon Valley Bank sembuse hiyo takataka crdbCRDB ifilisike? Umeangalia taarifa zake za kifedha?
Kopesha kwa RIBA. Ingawa.. si vyema kidiniaccording to marketing price of Intrest rate mtu akiamua kutoa Intrest rate ya 2.4% jee Hii haewezi kuwa msaada Kwa jamii?
Shida ya hii biashara upande wa wholesale imeingiliwa na wachina wenyewe, hawa unaweza kuwachukulia poa ila ni competitors wagumu sana kuwamudu.Mkuu import tire za magari utaapiga hata 500ml.kwa mwaka, import uza wholesale I ASSURE YOU!
Biashara ya nafaka tena kwa mtaji wa 1B, ukiiparamia kwa kutaka uuze kila kitu hutaambulia chochote.Unanunua Alizeti,mahindi,mbaazi unaenda kuuza sokoni,mfano Alizeti unaweza kukamua na kuuza mafuta na mashudu pia!Hapo je?
Ukiiweka vizuri ni sawa na kusema mtu ahakikishe uhakika wa soko kabla ya kutumbukia kwenye biashara fulani, na hata kama hana inabidi awekeze sana kwenye marketing ili kuwavuta hao wateja.Mimi nilikuwa nafahamu kwamba asilimia kubwa ya mafanikio ya biashara yanatokana na uwepo wa wateja
Unaweza ukawa na 1b bila wateja hio biashara itakufa
Si kweli mimi naongea km mfanya biashara zaidi ya mika 35 baada ya kupata elimu ya ujasiriamali pia ni entrepreneur specialist nimebobea kwenye elimu ya ujasiriamali na ninajua kwanini biashara zinakufa na nina ubunifu wangu wa ninikifanyike, kuna kampuni zinakufa kwasababu ya company policies(ineffective policies) and poor entrepreneurship skills, in entrepreneurship we learn how to do business not about business. Labda niseme kwakifupi unaweza ukawa umebobea kwenye elimu ya ujasiriamali na marketing utakumbana na uncertainty catalyzed by individual factors and the four major environmental factors , (Political, Social demographic variables, National economic and Technological factors). Bahati nzuri namalizia kuandika kitabu changu cha ujasiriamali stay tunedIkiwa kampuni hawez feli mana kupambana na competition ni kazi ya marketing officers wake