Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo biashara nyingi tu za kukupa hata 10M na zaidi kwa siku; ila swali ni una mtaji kiasi gani? Unaweza kuuza maji ya kunywa yaliyotengenezwa na makampuni mengine na ukapata 500,000/= kila siku, ila inabidi uwe na mtaji mkubwa na magari ya kusambaza pia na madepoti makubwa sehemu mbalimbali.Wana jf habari za majukumu?
Kati mada ilivyo hapo juu hivi
Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku.?????
Mchango wako ni muhimu kwangu
Ushauri mujarabu kabisaFanya kubeti mkuu tena faida itakuja ndani ya dakika 90 tu
Kuna jamvi lao humu la kubeti watakuja kukushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji gani! kauze ungaWana jf habari za majukumu?
Kati mada ilivyo hapo juu hivi
Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku.?????
Mchango wako ni muhimu kwangu
Wewe kama wewe unaweza biashara gani na una mtaji kiasi gani ili upate hiyo laki mbili kwa siku.....!!?Wana jf habari za majukumu?
Kati mada ilivyo hapo juu hivi
Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku.?????
Mchango wako ni muhimu kwangu
Zipo biashara nyingi tu za kukupa hata 10M na zaidi kwa siku; ila swali ni una mtaji kiasi gani? Unaweza kuuza maji ya kunywa yaliyotengenezwa na makampuni mengine na ukapata 500,000/= kila siku, ila inabidi uwe na mtaji mkubwa na magari ya kusambaza pia na madepoti makubwa sehemu mbalimbali.
Wewe kama wewe unaweza biashara gani na una mtaji kiasi gani ili upate hiyo laki mbili kwa siku.....!!?
Maana biashara iko nyingi,
1) Kuuza petrol station (mafuta).
2) Kuuza mazao (nafaka)
3) Kuuza bangi (pusha)
4) N.k, N.k, .......
Tudadavulie sasa tukuelewe.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Pikipiki 20 sio biashara, unaijua biashara mkuu.Laki mbili kwa siku hapo ni sawa na uwe na pikipiki 20 za mkataba na wote wakuletee 10,000/= kwa siku ndio utapata hiyo laki 2.....Mtaji wa kuwa na hizo pikipiki si chini ya mil 40[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
NB: faida kubwa, mtaji mkubwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na wazungu nao huchangia mada zao kwa kiswahili?Build a brand oriented product (s) centered with it's distribution network.
You can even make more than that
Wanaleta basi hizo pikipiki? Bodaboda akili yake kama anavyokikmbiza boda yake.Laki mbili kwa siku hapo ni sawa na uwe na pikipiki 20 za mkataba na wote wakuletee 10,000/= kwa siku ndio utapata hiyo laki 2.....Mtaji wa kuwa na hizo pikipiki si chini ya mil 40[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
NB: faida kubwa, mtaji mkubwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtaji wa pikipiki 20 akiletewa 200,000 kwa siku bado sio faida aitakayo maana humo kwenye laki mbili ya siku kuna hela iliyo tumika kununulia pikipiki...Laki mbili kwa siku hapo ni sawa na uwe na pikipiki 20 za mkataba na wote wakuletee 10,000/= kwa siku ndio utapata hiyo laki 2.....Mtaji wa kuwa na hizo pikipiki si chini ya mil 40[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
NB: faida kubwa, mtaji mkubwa!
Sent using Jamii Forums mobile app