Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Kama ni kweli unao huo mtaji biashara za kufanya ni nyingi kukuletea faida nzuri,ninafikiria Kama utafungua kiwanda utaweza fanya biashara nzuri,Kuna viwanda vinavyohitaji kuanzia milioni hamsini na product yako baadae ikauzika nchi nzima,afu afrika mashariki nzima.
Kingine nenda kanunua tractor ya kulimia ukodishe kwa kuwalimia watu kwa hekari,kunaoesa nyingi sana mpk wakimaliza kulima,utajikuta ndani ya miezi mitano umezalisha zaidi ya huo mtaji wako.
Kingine nenda vijijini kashimbe visima yza maji huko,ukichimba visima vijiji vitano tu,utalaza kila siku pesa ya maana.
Kuna ideas nyingi kwa mtaji huo ambazo zitakuletea faida nyingi sana,Kama kweli unayo hiyo pesa fanya hayo au nitafute nikuelekeze njia ya kufanya hivyo,mie nikipata huo mtaji nadhan ndani ya miezi sita nitakuwa nimefikia mbali sana.
Pia kuna kufuata bidhaa nje ya nchi uje uuze huku,ila kwanza uwe na wateja huku kabla ya kufuata bidhaa,soko la uhakika kabla ya kuleta mzigo
Wana JF habari za majukumu?

Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?

Mchango wako ni muhimu kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF habari za majukumu?

Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?

Mchango wako ni muhimu kwangu.

Uza bangi au anzisha danguro...utapata hata milioni kwa siku...
 
Hivi na wazungu nao huchangia mada zao kwa kiswahili?
Simtetei jamaa ila kwenye mambo yakitaaluma wakati fulani kuna misamiati yakiswahili hata kama ipo na ikaandikwa itakua migumu bora ya kingereza.
Hio ni misamiati ya watu wa taaluma ya biashara.
 
Wana JF habari za majukumu?

Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?

Mchango wako ni muhimu kwangu.
Andaa mtaji usiopungua 20M ,harafu njoo tena hapa Jf uulize swali lako.
 
Mimi ni graduate toka Mlimani Nina biashara ya play station kwa mtaji wa 2M..kila baada ya siku 10 napata 100k na hiyo ni kwa outset 1..kama nikiwekeza 20×2M=40M,,10k×20=200,000/= for 40M..na hiyo yote ni almost profit maana pesa inayoingia yote ni deposited matumiz mengine ni nje ya hiyo per day..
Pia napanga kufungua Car Wash kwa 2M nauhakika wa kupata 50k per day kwa office moja nikiosha gar 10tu ....kila la kheri

Mkuu habari naomba unipe mchanganuo wa hii kitu kwa 2M plus mahitaji yanayohitajika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Contents
[emoji375]
IMG_20200305_125141.jpeg
IMG_20200305_125209.jpeg
IMG_20200305_125106.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom