Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Laki mbili kwa siku hapo ni sawa na uwe na pikipiki 20 za mkataba na wote wakuletee 10,000/= kwa siku ndio utapata hiyo laki 2.....Mtaji wa kuwa na hizo pikipiki si chini ya mil 40[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

NB: faida kubwa, mtaji mkubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry wakati unaandika hii comment ulikuwa unajua tofauti ya faida ma turnover?
 
Wana JF habari za majukumu?

Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?

Mchango wako ni muhimu kwangu.
kwa investement ya Tsh ngapi?
 
Nitarudi kuja kuandika neno kwenye huu uzi, lakini niseme INAWEZEKANA VIZURI.
 
Back
Top Bottom