Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara yenye faida kubwa ni biashara yenye mtaji mkubwa. Faida unayoizungumzia wewe unatakiwa utoe hapo Kodi, Mshahara wa wafanyakazi wako, Matumizi madogo madogo kama umeme, nauli na chakula nk. Ushahuri wangu kama mfanya biashara, duniani hakuna shortcut, wewe kama unadhania faida inatengenezwa kirahisi utajikuta watu wanakushauri na hawana background na biashara, hawana elimu ya biashara na ulivyouliza ni jambo la busara ila inaonyesha huna elimu ya kutosha ndio maana umeomba ushauri...

Ushauri wa zaida, fanya biashara unayoiweza na uliyo na ujuzi nao, biashara za kuambiwa utapata hasara kubwa mno kama huna uzoefu nazo. Anza biashara hata kama ni ndogo kwa kuwa una ujuzi nayo utafika mbali sana. Na una nafasi ya kukuza biashara yako kuwa kubwa zaidi. Bakhresa katoka kaitoa bishara ya kuuza maandazi kutoka mtaa kwa mtaa mpaka imekuwa ni bishara kubwa na anauza nchi nzima wakati wengi wanalenga mtaa mmoja. Ila kwa ndoto zake na udogo wake kaufanya kwa makubwa...

Mie nilianza na shilling elfu 2 ila nimehangaika kwa miaka minne, ila nimenunua viwanja nimeweza kujikimu kimaisha na vitu vingi vyenye thamani ya mamilion ambayo sikutegemea kushika back then...

Ila kwa million 100 afu hujui unataka ufanye nayo nini, manake labda hela ya urithi ila kama ungekuwa mtafutaji mda mrefu ungeweza kujua unachotaka kufanya. Kuwe serious na ukibabaika itakugharimu...

Hata kama una elimu kubwa ya biashara unatakiwa uwe mtu unajifunze kwa wengine yaan mawazo ya watu wengine sio kwasababu wewe una uzoefu wa biashara ndo unaona umemaliza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimsikilize huyo anayekudanganya kuhusu pikipiki hiyo ni biashara ya kupuuzi mnoo achana nayo kabisa. Kwanza piki piki mpya zinaibiwa sana na hap hajakuwekea hesabu ya service na vingine. Biashara ya kichwani ni tofauti na ya mtaani haiendi ivyo...

Kweli kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last advice:

Invest in different businesses with that 100m, and stop thinking on profit of 200,000 per day. As your businesses grow you will make much more than what you invested in

[emoji120][emoji120][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada hizo post zako za nyuma [emoji622]

Si ulikuwa na mtaji wa mill 50, hatimaye imefika 100,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ni mfanyabiashara vile vile ni mwajiriwa mshahara wa ni $3000. Kwa mwez
Mbali naajira nafanya biashara inayonipa pesa nzuri vile na nina uzoefu na biashara.
Licha ya uzoefu unatakiwa upite kwa watu wengne upate mawazo ya watu wengine ili uchanganye nayakwako upate kujifunza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu KIN NIGGA unataka kuwekeza Tanzania, Congo au Marekani ?

Nataka nikushauri cha kufanya.
 
Mimi ni graduate toka Mlimani Nina biashara ya play station kwa mtaji wa 2M..kila baada ya siku 10 napata 100k na hiyo ni kwa outset 1..kama nikiwekeza 20×2M=40M,,10k×20=200,000/= for 40M..na hiyo yote ni almost profit maana pesa inayoingia yote ni deposited matumiz mengine ni nje ya hiyo per day..
Pia napanga kufungua Car Wash kwa 2M nauhakika wa kupata 50k per day kwa office moja nikiosha gar 10tu ....kila la kheri
Niliwahi kua nastationery mashine ya copy ikazingua nikabadili gia angania nakufanya iwe playstation center, ilinigarimu 500k tu kuikamilisha, nilikua nalaza 20k-25k kwasiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom