Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara yenye faida kubwa ni biashara yenye mtaji mkubwa.

Icho ulichosema inawezekana ikawa ivyo kwa biashara nyingi lakini sio lazima kwa biashara zote.

Hivi unajua faida kwenye biashara hazilingani? Kuna biashara unaweka m5 inakupa m1 kwa mwezi na kuna biashara unaweka m5 inakupa laki 2 kwa siku sawa na m6 kwa mwezi.

Ukitaka kutajirika fasta tafuta biashara zenye profit margin kubwa na ambazo capital yako unaizungusha Mara nyingi kwa mwezi.
 
Mimi ni graduate toka Mlimani Nina biashara ya play station kwa mtaji wa 2M..kila baada ya siku 10 napata 100k na hiyo ni kwa outset 1..kama nikiwekeza 20×2M=40M,,10k×20=200,000/= for 40M..na hiyo yote ni almost profit maana pesa inayoingia yote ni deposited matumiz mengine ni nje ya hiyo per day..
Pia napanga kufungua Car Wash kwa 2M nauhakika wa kupata 50k per day kwa office moja nikiosha gar 10tu ....kila la kheri
Biashara ya car wash naitamani kwa hiyo mil 2 ni nini mkuu
 
Upo siriasi kweli unataka kuwekeza m100 upate laki 2 kwa siku? Mbona iyo return ndogo?
Ndogo Sana kwa uwekezaji wa Milioni 100 maana break even yake itakuwa ni miaka 3 ukitoa na gharama za uendeshaji.Kama hio ni baada ya kutoa gharama zote ina maana ni mwaka na nusu.Hujaweka weka issue ya RISKs etc.Nafikiri huyu bwana amekuja kuuliza swali sahihi sehemu isiyo sahihi au ni chai
 
Fanya bulk production.
Fungua kiwanda cha bidhaa yoyote yenye mzunguko mkubwa wa mauzo.
Tafuta vijana wa sales unawalipa kwa commission, unatafuta wateja wa jumla pia.
 
Upo siriasi kweli unataka kuwekeza m100 upate laki 2 kwa siku? Mbona iyo return ndogo?
Ndogo Sana kwa uwekezaji wa Milioni 100 maana break even yake itakuwa ni miaka 3 ukitoa na gharama za uendeshaji.Kama hio ni baada ya kutoa gharama zote ina maana ni mwaka na nusu.Hujaweka weka issue ya RISKs etc.Nafikiri huyu bwana amekuja kuuliza swali sahihi sehemu isiyo sahihi au ni chai
 
Wanakuita Barnaba Classic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni graduate toka Mlimani Nina biashara ya play station kwa mtaji wa 2M..kila baada ya siku 10 napata 100k na hiyo ni kwa outset 1..kama nikiwekeza 20×2M=40M,,10k×20=200,000/= for 40M..na hiyo yote ni almost profit maana pesa inayoingia yote ni deposited matumiz mengine ni nje ya hiyo per day..
Pia napanga kufungua Car Wash kwa 2M nauhakika wa kupata 50k per day kwa office moja nikiosha gar 10tu ....kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona usifikirie kununua daladala, ambazo kwa 100m nakushauri nunua kwanza tatu ikiwa kila siku itakuletea hesabu ya 120,000/- kwa daladala moja, maana yake zote tatu zitaleta 360,000/- kwa siku. Tayari ushafikia 70% ya faida uliyokuwa unaitamani kitu ambacho sio mbaya kuanzia hapo baada ya mwezi unaweza ukaongezea lingine na kupata hata zaidi ya laki tano kwa siku moja!

Wako mtiifu
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom