Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

Wana JF habari za majukumu?

Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku?

Mchango wako ni muhimu kwangu.
Taarifa yako mbona haieleweki?

Haujasema unapatikana wapi, una mtaji kiasi gan

Na je! Ulishawahi kufanya biashara ama vipi?

Na kama ulishawahi kufanya biashara ni biashara gan na ulikuwa unapata faida kias gano kwa siku

Hapo ndio tuanze kukushaur
 
Back
Top Bottom