Big Nyota JF-Expert Member Joined Apr 2, 2018 Posts 378 Reaction score 575 Sep 8, 2024 #121 malembeka18 said: Inawezekana vip kwa biashara gani Click to expand... Nimesema nitarudi usiwe na haraka tulia kijana.
malembeka18 said: Inawezekana vip kwa biashara gani Click to expand... Nimesema nitarudi usiwe na haraka tulia kijana.
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,118 Reaction score 1,797 Sep 8, 2024 #122 Bullshit said: Wana JF habari za majukumu? Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku? Mchango wako ni muhimu kwangu. Click to expand... Taarifa yako mbona haieleweki? Haujasema unapatikana wapi, una mtaji kiasi gan Na je! Ulishawahi kufanya biashara ama vipi? Na kama ulishawahi kufanya biashara ni biashara gan na ulikuwa unapata faida kias gano kwa siku Hapo ndio tuanze kukushaur
Bullshit said: Wana JF habari za majukumu? Kati mada ilivyo hapo juu hivi. Naweza kujishughulisha na nini hasa ili faida ya biashara yangu iwe inanilipa laki mbili kwa siku? Mchango wako ni muhimu kwangu. Click to expand... Taarifa yako mbona haieleweki? Haujasema unapatikana wapi, una mtaji kiasi gan Na je! Ulishawahi kufanya biashara ama vipi? Na kama ulishawahi kufanya biashara ni biashara gan na ulikuwa unapata faida kias gano kwa siku Hapo ndio tuanze kukushaur
Waka Waka JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 1,333 Reaction score 2,076 Sep 9, 2024 #123 All the best