Biashara haramu ndio biashara kubwa duniani

Biashara haramu ndio biashara kubwa duniani

Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza
Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu
Kusafirisha binafamu
Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara

Kwa Afrika wafanyabiashara mafia wanashirikiana na wanasiasa walioko madarakani

Hawa wafanyabiashara wanatoa mitaji na nyenzo wanasisa wanatoa ulinzi.. Kwa ukanda wa Afrika mashariki kusafirisha binadamu ni hot cake.. Hasa wasomali na waethiophia..
Kuna nyingine ya madanguro ya kihindi na kichina.. Mabinti wa Kithai na wahindi wa India

Ona hapa mbinu zinazotumika..Bila kuuza siri ni ngumu kung'amua hii mbinuView attachment 3159525View attachment 3159526View attachment 3159527
Duh! Hatari sana.
Hii biashara haitakujaisha.
 
Kisha kinatokea kibushuti kimoja kilichovaa kaboxer kakijani kinakwambia
Gentleman " sheria ni msumeno"
Huyu mwana siasa alichukuliwa gani haswa?
Hizo sheria wanavunja wapin!ani tu???
Kisha kinatokea kibushuti kimoja kilichovaa kaboxer kakijani ..šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Ukahaba.
There's no bussiness like ho bussiness.
Ni hype tu, biashara ya ukahaba ni mijini zaidi lakini pia kuna nchi nyingi duniani biashara ya ukahaba ni halali kabisa, sio haramu.
 
Ningekua na uwezo ningekusanya wanasiasa wote niwalipue kwa bomu la nyuklia,kisha mataifa yote yaongozwe kijeshi
 
Kwa Bongo SNOWFALL ndio mpango mzima..Ukiwajua wauza unga wakubwa wa hapa Bongo utahamaki....
 
Ni hype tu, biashara ya ukahaba ni mijini zaidi lakini pia kuna nchi nyingi duniani biashara ya ukahaba ni halali kabisa, sio haramu.
Hakuna biashara yenye faida na inayotumiwa na watu wengi huku imeharamishwa kama ukahaba.
Na upo kila mahali duniani mpaka Mecca na Vatican City.
Na nchi zilizohalalisha bado zina-control makahaba ambao hawataki kuwa controlled na serikali, kwa hiyo wanafanya kiharamu.Drugs na Silaha zote ni biashara zinazopaliliwa na ukahaba.
It's the oldest, most profitable and unbeatable.
 
Back
Top Bottom