Biashara hizi zimefunguliwa na wengi lakini wachache sana wameweza kudumu

Biashara hii kwa wengi huvuma kwa muda mfupi na kisha hufa ndani ya miaka michache
Sababu wateja ni wale wale na kukiwa hakuna vivutio vya utalii wateja hawaji kukiwa na vivutio hata wasiokunywa watakuja na bar itajaa okota toto 2/3 zenye sambwanda ziweke pale ziwe zinagawa vinywaji uone km biashara itakufa
 
kwenye mabus tricks inayotumika ni kubadilisha kampun jina
Sio rahisi Khivyo, Kampuni ikichoka ni kwasababu hakuna pesa ya kuendesha Bashara

Figisu, Gari zinakula mizinga, Matengenezo na service pasua kichwa, Madereva wanaibia boss, Marejesho ya mikopo, Matrafiki, n,k. Wateja wanaanza kulikwepa basi.

Sumry iliwahi kubadili jina lakini wapi, huduma ilikuwa mbovu vilevile
 
Sababu wateja ni wale wale na kukiwa hakuna vivutio vya utalii wateja hawaji kukiwa na vivutio hata wasiokunywa watakuja na bar itajaa okota toto 2/3 zenye sambwanda ziweke pale ziwe zinagawa vinywaji uone km biashara itakufa
Hivi Rose Garden bado ipo? (ya Mikocheni). Na bado ina wateja? Ni moja ya bar zilizovuma kwa muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…