Biashara hizi zimefunguliwa na wengi lakini wachache sana wameweza kudumu

Biashara hizi zimefunguliwa na wengi lakini wachache sana wameweza kudumu

14. Itoshe kusema chelehani 4 ni kiwanda
Screenshot_2024-11-09-12-12-11-90.png
 
17. Biashara ya kutengeneza PIZZA kirahisi inafundishwa leo ITV labda itatutoa! - Maana wanawake wengi Tanzania huwa hawapiki PIZZA nyumbani (Wamechukua Miraha yote ya Nyumbani ili wakawe wabilionea - Kuogeshwa👙, Mama ntilie👙, Massage👙, Usafi wa Mazingira💃💃 )

IMG_20241112_181454.jpg
 
Bar, nyama choma na supu , na vyumba vya wageni , hakuna hela ndogo kwa mfanya biashara.
Bar ili idumu inabidi iwe na vitu vingi sana, ukiachana na kuwepo na vinywaji na vyakula. Lazima pawe na vibe, parking, malaya, bar iwe na gesti ili watu wapewe K. Wahudumu wazuri. Promo ya kutosha. Location nzuri kwa walevi
 
Kabisa mkuu na bar yako ikiwa na wateja vijana wa kihuni unawakimbiza wale wateja wenye hela zao.
 
Naona Samaki Samaki Masaki bado inashika na it has been a while. Wanatumia mbinu gani kuretain walevi??
Ameset standard kuna aina ya wateja ukiwa nao bar haichuji inaweza kosa vibe ila hela ikawepo.

Bar za gharama zinadumu. Beer bei juu. Kwa hiyo wale wateja wenye hadhi na ukwasi na na hata wasio na hela ila wapenda classic unaendelea kuwapata. Samaki samaki, tips etc
 
Ndio maana vitu wavuvi camp vipo bei juu sana. Ili vijana maskini na watu wa hovyo wasiende huko. Au wakienda wasirudi tena. Waende watu wa maana tu. 🤣
🤣🤣🤣beer moja 9000 wakati akienda kitambaa cheupe anapata beer 3 hadi 4.
 
Back
Top Bottom