Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Rose garden ipo ingawa haina ma vibe sana kama enzi hizo, somehow wanajitahidi ku maintain wengine wanavuma halafu wanapotea kwenye game mazima.Hivi Rose Garden bado ipo? (ya Mikocheni). Na bado ina wateja? Ni moja ya bar zilizovuma kwa muda mrefu sana.