Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Hivi hizo bar wanazokopesha ni za wapi?🤣Wakihama, wanahama na madeni,....Ukigoma kuwakopesha, kesho hawaji,...😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hizo bar wanazokopesha ni za wapi?🤣Wakihama, wanahama na madeni,....Ukigoma kuwakopesha, kesho hawaji,...😁😁
Tatzo siku hizi hata hzo bar za maana vijana wa kihuni nao wapo , unawakuta na bastola zao kiunoni washamba sana, bora kama nikujitungua mtu ujitungulie gheto upande kitandani😂Ndio maana vitu wavuvi camp vipo bei juu sana. Ili vijana maskini na watu wa hovyo wasiende huko. Au wakienda wasirudi tena. Waende watu wa maana tu. 🤣
Rose Garden ndioUlikuwa unaijua mwanzoni?
Hiyo ni mbinu ya kuwapunguza vijana wa ovyo 🤣. Inabidi apandishe zaidi bia chupa moja laki 🤣🤣🤣🤣🤣beer moja 9000 wakati akienda kitambaa cheupe anapata beer 3 hadi 4.
kuna level mtu, akifika anakuwa vipHivi hizo bar wanazokopesha ni za wapi?🤣
Yaah bt unaenjoy sio ukienda chooni tu unawaza nyuma beer zitaibiwa...Hiyo ni mbinu ya kuwapunguza vijana wa ovyo 🤣. Inabidi apandishe zaidi bia chupa moja laki 🤣🤣
Jamaa hata coco beach ana wakimbiza sana wenzake paleNaona Samaki Samaki Masaki bado inashika na it has been a while. Wanatumia mbinu gani kuretain walevi??
for sure, rose garden ni ya kitambo sana biashara zina mambo mengi hao wanaovuma na kupotea usiwashangae!
Hii bar ni legendary, nimeisikia miaka mingi nyuma
hongera bar tanroad Walipita nayo!Nikikumbuka Hongera Bar na Kilitime Bar Sinza!
Ni vijana wachache sana wanaoweza kusimamia miradi ya wazee wao ikasimama, hongera sana kwaoFamilia ya Mzee Assey ndio wamiliki wa hiyo bar. Vijana wake wapo fresh sana wamejitahidi kusimamia miradi mbali mbali ya wazee wao. Inapendeza na kutia moyo sana.
upo sahihi kiongozi kuna rafiki yangu kachemka kuendesha biashara ya baba yake pombe nyingi na kamari akaenda mbali zaizi akaweka bond gariNi vijana wachache sana wanaoweza kusimamia miradi ya wazee wao ikasimama, hongera sana kwao
Vibaya sana yaan mgeni ukimpeleka pale lazima apasifie.Boss Calito ni mbunifu, Ni mzungu mwenye exposure, katembea nchi nyingi, katengeneza mazngira flani hadi wageni kutoka nje ya nchi wanapapenda
Miezi 6 ya mwanzo ndiyo yamavuno hakikiasha una vinywaji vya kutosha na majokofu yanafanyakazi vizuriBiashara hii kwa wengi huvuma kwa muda mfupi na kisha hufa ndani ya miaka michache
Mbona kutambaa cheupe tabata ipo vema tuBiashara ya Bar jau sanaaa
Inategemeana na bar gani,bar za Dodoma bia ya mtaani ya 1,700 inauzwa 3,500 mbona faidaBar ni moja ya biashara ya kijinga sana..,
Unatumia nguvu kubwa kutafuta hela ndogo