Biashara hizi zimefunguliwa na wengi lakini wachache sana wameweza kudumu

Uliweza kufungua mkuu??
Ndio mkuu.

sasa naenda awamu ya pili mwanzo haukuwa mgumu sana kwa sababu bar ninayoiendesha ilikuwa inafanya kazi kabla (watu walisanda) nina washindani wawili ndo ninapambana nao.
biashara ya bar naifananisha na kazi ya usanii ili msanii aweze kumaintain his/ her status lazima afanye kazi sana (asibweteke) na bar ni hivyo hivyo ubunifu na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…