kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kwa hiyo milion 10 ni mtaji mdogo? Kwa hiyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?Pole sana mdau, biashara inataka utulivu na uvumilivu.
Inawezekana kuna mistake uliifanya bila kujua,biashara ya mtaji wa 10mill kama ulikuwa unaitegemea hiyo hiyo kuendeshea maisha ni uongo isinge-survive maana ilibidi faida inayopatikana humo ndani ya hiyo miaka mitatu izidi kuiimarisha ndo uanze kula faida.
So nikusema faida yake ungeanza kuitegemea baada ya miaka mitano mtaji ukiwa umeshakua,ni changamoto sana mtaji wa biashara ukiwa mdogo.
Pole sana mkuu. Ni duka la nini na liko wapi?Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikua na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka sitaki pressure tena.
Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikua na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka sitaki pressure tena.
Biashara unaendesha maisha vizuri tu labda kama utachanganya na anasaPole sana mdau, biashara inataka utulivu na uvumilivu.
Inawezekana kuna mistake uliifanya bila kujua,biashara ya mtaji wa 10mill kama ulikuwa unaitegemea hiyo hiyo kuendeshea maisha ni uongo isinge-survive maana ilibidi faida inayopatikana humo ndani ya hiyo miaka mitatu izidi kuiimarisha ndo uanze kula faida.
So nikusema faida yake ungeanza kuitegemea baada ya miaka mitano mtaji ukiwa umeshakua,ni changamoto sana mtaji wa biashara ukiwa mdogo.
Unapatikana mkoa gani mkuu?Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikua na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka sitaki pressure tena.
10m mtaji mdogo hebu kuwa serious jamaaPole sana mdau, biashara inataka utulivu na uvumilivu.
Inawezekana kuna mistake uliifanya bila kujua,biashara ya mtaji wa 10mill kama ulikuwa unaitegemea hiyo hiyo kuendeshea maisha ni uongo isinge-survive maana ilibidi faida inayopatikana humo ndani ya hiyo miaka mitatu izidi kuiimarisha ndo uanze kula faida.
So nikusema faida yake ungeanza kuitegemea baada ya miaka mitano mtaji ukiwa umeshakua,ni changamoto sana mtaji wa biashara ukiwa mdogo.
Pole mkuu ila ungesema location uliyopo bado hiyo pesa ulionayo unaweza pata faida kwa biashara zingine.Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikua na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka sitaki pressure tena.
10m mtaji mdogo hebu kuwa serious jamaa
Huu ndio uanaume.. Mimi nilimuweka kijana akawa Kama anaifix pesa nimemtoa..Mkuu ,Bado una nafasi jitafakari Ni Nini sababu ya kupoteza mtaji then kaa chini ipangilie hella iliobakia Anza Tena biashara ,m 3 ukiilenga biashara nzuri inao uwezo was kukupa return nzuri tu per month,
Cha msingi Sana tafuta masoko,wateja wa bidhaa zako
Then tafuta connection nzur ya Ni wapi unachkulia bidhaa (hapa uweze kwenda kuchkua muda wowote ukiishiwa bidhaa)
Usiogope na ukakata tamaa kufanya biashara,Kuna wakati watu tmefulia mtaji ukashuka kabisa adi chini ya lak 5 lakini skuacha nkafosi hadi mtaji umerudi seemu yake,
Usiogope kufanya biashara,jifunze kupitia makosa yako ,endelea mbele
10 ml ni mtaji mdogo mkuu????Pole sana mdau, biashara inataka utulivu na uvumilivu.
Inawezekana kuna mistake uliifanya bila kujua,biashara ya mtaji wa 10mill kama ulikuwa unaitegemea hiyo hiyo kuendeshea maisha ni uongo isinge-survive maana ilibidi faida inayopatikana humo ndani ya hiyo miaka mitatu izidi kuiimarisha ndo uanze kula faida.
So nikusema faida yake ungeanza kuitegemea baada ya miaka mitano mtaji ukiwa umeshakua,ni changamoto sana mtaji wa biashara ukiwa mdogo.
Mimi nilianza na laki 7 bidhaa za nyumbn na miamala 2.5...jamaa mmoja swahiba wangu akaniambia nijiunge na biashara ya forever..nikatoa laki 7...hela angu ikazama....Kama unaitegemea hiyo biashara ya milioni 10 ujue utaifilisi tu.
Milioni 10 sio nyingi kwa biashara za uchuuzi
Hujamuelewa point yake.Kwa hyo milion 10 ni mtaji mdogo?,,,,,kwa hyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?
Boss umeona kuna nilipoandika mill 10 ni ndogo au kubwa?Kwa hyo milion 10 ni mtaji mdogo?,,,,,kwa hyo mtaji sahihi wa kuanzisha biashara ni shi ngapi?