msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
Maswali ya msingi sana aya na location alipo?Mleta mada ulikuwa huongi,hakuna chuma ulete hapo kwako?
Biashara mlikuwa mnauza watu wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali ya msingi sana aya na location alipo?Mleta mada ulikuwa huongi,hakuna chuma ulete hapo kwako?
Biashara mlikuwa mnauza watu wangapi?
Oil, betri za magari na matairi. Lilikuwa Goba Dar.Aisee pole mkuu
Wanaziita biashara kichaa
Lilikua la nini? Na location wapi?
Noted mkuuPole sana mdau, biashara inataka utulivu na uvumilivu.
Inawezekana kuna mistake uliifanya bila kujua,biashara ya mtaji wa 10mill kama ulikuwa unaitegemea hiyo hiyo kuendeshea maisha ni uongo isinge-survive maana ilibidi faida inayopatikana humo ndani ya hiyo miaka mitatu izidi kuiimarisha ndo uanze kula faida.
So nikusema faida yake ungeanza kuitegemea baada ya miaka mitano mtaji ukiwa umeshakua,ni changamoto sana mtaji wa biashara ukiwa mdogo.
Noted mkuuMkuu ,Bado una nafasi jitafakari Ni Nini sababu ya kupoteza mtaji then kaa chini ipangilie hella iliobakia Anza Tena biashara ,m 3 ukiilenga biashara nzuri inao uwezo was kukupa return nzuri tu per month,
Cha msingi Sana tafuta masoko,wateja wa bidhaa zako
Then tafuta connection nzur ya Ni wapi unachkulia bidhaa (hapa uweze kwenda kuchkua muda wowote ukiishiwa bidhaa)
Usiogope na ukakata tamaa kufanya biashara,Kuna wakati watu tmefulia mtaji ukashuka kabisa adi chini ya lak 5 lakini skuacha nkafosi hadi mtaji umerudi seemu yake,
Usiogope kufanya biashara,jifunze kupitia makosa yako ,endelea mbele
Mkuu, miezi mitatu ya mwanzo nilikuwa nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya, nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoani, ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2mMleta mada ulikuwa huongi,hakuna chuma ulete hapo kwako?
Biashara mlikuwa mnauza watu wangapi?
Goba DarPole sana mkuu. Ni duka la nini na liko wapi?
Goba Dar mkuupole mkuu ila ungesema location uliopo bado hiyo pesa ulio nayo unaweza pata faida kwa biashara zinginr
Ulipokaa mwenyewe kulikuw na faida?Mkuu,miezi mitatu ya mwanzo nilikua nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya,nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoan.ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2m
Kiasi chake nilikua naona pesa ingawa ilikua haijachanganya kivile kwa kipindi kile.Ulipokaa mwenyewe kulikuw na faida?
Biashara unaendesha maisha vizuri tu labda kama utachanganya na anasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mnisome vizuri wakuu,sikusema ni ndogo au kubwa ila kulingana na maelezo aliyoyatoa jamaa kwa mtaji huo hiyo biashara yake kwa vyovyote ilikuwa lazima yenyewe ijiwekee mizizi ndo aanze kula faida.10 ml Ni mtaji mdogo mkuu????
Aiseee kweli dunia is not fair
Yawezekana dogo kazinguaMkuu,miezi mitatu ya mwanzo nilikua nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya,nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoan.ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2m
Ndio maana nimemtoa mdogo wangu wa damu hivyohivyo..wandugu hawafai kuwaweka kwny biasharaMkuu,miezi mitatu ya mwanzo nilikua nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya,nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoan.ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2m
Naona wazee wa ulozi mpo kaziniHata kama uwe professor wa biashara, kuna mambo katika ulimwengu wa roho kama huyajui unazidiwa na mtu ambae hajui hata kusoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simply amehonga/iba au hajui hesabu!!?Mkuu,miezi mitatu ya mwanzo nilikua nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya,nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoan.ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2m
Inategemea ni biashara gani unafanya ila kwa ujumla ni mtaji mdogo labda kama ni biashara ya mbogamboga10m mtaji mdogo hebu kuwa serious jamaa