Bznes n kaz nzur na n kaz ngum.. inahitaj mda wa kuifatilia km n mwajiliwa ufatiliaj wako n ngum kuwepo kweny biashara yako
Yakulazm kufanya biasahara ambayo haitakuhitaj uwepo mda wotee mfano
Biashara ya Bodaboda hiii haihitaj kuwepo unachotakiwq n kumpata kijana mweny familia na kuingia nae mkataba ambae tayal anafanya hyo kaz
10m unapata boda 5 at once tvs /boxer inategemea na bei wakat huo ila inaanza na 2.4m 2.5m hapo umepeta na punguzo
Ukiweka GPS lak1- lak1.5 then mkataba wa miez 10 kila cku elf 15 kwa mwez 450,000k
450,000*10=4,500,000/=
4,500,000*5=22,500,000/=
22 n baada ya miez kum Haya chukulia kwa mwaka tuu Yan miez 2 iwe ile ya usumbufu wakat ya malejesho
Changamoto zipo ila n ku take risk na changamoto zake n kutopata mwaminifu
Ishu ya kuibiwa ipo ila GPS kidogo inapunguza na inasaidia uwezekano wa kuipata