Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

Noted mkuu
 
Noted mkuu
 
Biashara unaendesha maisha vizuri tu labda kama utachanganya na anasa

Sent using Jamii Forums mobile app
10 ml Ni mtaji mdogo mkuu????

Aiseee kweli dunia is not fair
Naomba mnisome vizuri wakuu,sikusema ni ndogo au kubwa ila kulingana na maelezo aliyoyatoa jamaa kwa mtaji huo hiyo biashara yake kwa vyovyote ilikuwa lazima yenyewe ijiwekee mizizi ndo aanze kula faida.

Mimi nimeegemea zaidi upande wa kupoteza mtaji kwa sababu ya kuanza kula faida ambayo bado ilikuwa haijajiimarisha.
 
Na ninaposema kuanza kula faida ni pale ukitaka mfano 800K kutoka sehemu yako ya biashara (siyo ambayo iko bank) unachukua na mahitaji yako yote ya kila siku unapata bila kutetereka.
 
Mkuu,miezi mitatu ya mwanzo nilikua nakaa mwenyewe. Nikawa na shughuli nyingine ya kufanya,nikamleta mdogo wangu wa damu kutoka mkoan.ndio kuja kushtuka duka limebaki 3.2m
Simply amehonga/iba au hajui hesabu!!?

Siku hizi hata awe mzazi wako kuwa naye mwangalifu kwenye biashara.
Kila mtu anahitaji pesa na pesa haina undungu wala urafiki wala kujuana.
 
Bznes n kaz nzur na n kaz ngum.. inahitaj mda wa kuifatilia km n mwajiliwa ufatiliaj wako n ngum kuwepo kweny biashara yako

Yakulazm kufanya biasahara ambayo haitakuhitaj uwepo mda wotee mfano


Biashara ya Bodaboda hiii haihitaj kuwepo unachotakiwq n kumpata kijana mweny familia na kuingia nae mkataba ambae tayal anafanya hyo kaz


10m unapata boda 5 at once tvs /boxer inategemea na bei wakat huo ila inaanza na 2.4m 2.5m hapo umepeta na punguzo


Ukiweka GPS lak1- lak1.5 then mkataba wa miez 10 kila cku elf 15 kwa mwez 450,000k

450,000*10=4,500,000/=
4,500,000*5=22,500,000/=

22 n baada ya miez kum Haya chukulia kwa mwaka tuu Yan miez 2 iwe ile ya usumbufu wakat ya malejesho

Changamoto zipo ila n ku take risk na changamoto zake n kutopata mwaminifu
Ishu ya kuibiwa ipo ila GPS kidogo inapunguza na inasaidia uwezekano wa kuipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…