Hahahaa, unaweza ukaingia chooni then ukasahau kutawaza.Logistics ina faida sana ila again , sio kwa kila mtu!
Simu ya dereva kuwa lori limeanguka na copper ya watu imeibiwa inataka ujasiri wa hali ya juu kuipokea na kuifanyia kazi .
Sasa hapo sii hesabu za haraka haraka anapata m3 kwa mwezi.
Sema ndio advantage ni kwamba atakuwa anatulia home tuu huku akidemka na kugegeda
Sindo hapo sasa, yani biashara ya dawa za binadamu ata uwe na kiduka tu cha dawa baridi we unatoboaHakuna biashara rahisi kama pharmacy aisee ikikushinda hii zingine hutoweza hata kidogo.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Kuna trafiki mmoja anaitwa Ndesa alikua na hiace kibao Arusha, baada ya kuhamishwa kikazi na figisu figisu kibao Hali ikawa tete kwny hiace,Sasa huyo alitoka ofisini tu ndio mwisho wa biashara hio.Daladala nyingi mjini ni za mapolisi zinasavive kwa simu
Logistics ina faida sana ila again , sio kwa kila mtu!
Simu ya dereva kuwa lori limeanguka na copper ya watu imeibiwa inataka ujasiri wa hali ya juu kuipokea na kuifanyia kazi .
Hebu tuambie mwenye milion 300 anakuwaje?Mwenye milioni 300 anakuwaga hivi?
Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza tsh. million mia tatu(300m+) nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Pamoja mkuu.Thnxs Sana chief.
Acha tu mkuu, ndo nimetoka kumnyima mteja mzigo hapa sasa hivi, kanunua mahitaji yake na akasema hana 2500Ths tu hivo nimwachie, wao wanaona kama wauzaji waga wanapata faida kubwa sanaWee acha tu. Cement jumla unanunua tshs 15000 halafu wewe unaenda kuuza 15500 hapohapo mteja anaomba discount. Biashara ngumu nyie!!!
Kuna idea uliisemaga humu ya kununua Fuso kwa mtu kwa Bei nafuu then unaipeleka Moshi wanaifanyia makeke ikirudi road iko Kama mpya,nilijaribu kuifanyia kazi aisee wahuni walitaka kunishikisha Gari za hovyo.Karibu watu 7 walitaka kuniingiza Chaka bht nzuri na Mimi nina abc kidogo kwny hizo mambo nikasitisha huo Mpango pesa nikaenda kuifanyia mambo mengine.Ila nitaifanyia kazi Jambo Hilo.113 nzuri kwa kuanzia maisha, ukiwa serious utatoka. Kuna jamaa alinitumia video za Scania 124 420 trailer Excell RRR complete kwa 35M.View attachment 2333571
Kuna mmoja yupo temeke nae nissan civilian kibao zakeKuna trafiki mmoja anaitwa Ndesa alikua na hiace kibao Arusha, baada ya kuhamishwa kikazi na figisu figisu kibao Hali ikawa tete kwny hiace,Sasa huyo alitoka ofisini tu ndio mwisho wa biashara hio.
Bora ulishtuka mapema mkuu, lazima uwe na uzoefu kununua magari ya mikononi mwa watu.Kuna idea uliisemaga humu ya kununua Fuso kwa mtu kwa Bei nafuu then unaipeleka Moshi wanaifanyia makeke ikirudi road iko Kama mpya,nilijaribu kuifanyia kazi aisee wahuni walitaka kunishikisha Gari za hovyo.Karibu watu 7 walitaka kuniingiza Chaka bht nzuri na Mimi nina abc kidogo kwny hizo mambo nikasitisha huo Mpango pesa nikaenda kuifanyia mambo mengine.Ila nitaifanyia kazi Jambo Hilo.
Nilichojifunza inabidi ujue unachokifanya wkt wkt unainunua hio machine kwa mtu,la sivyo utashikishwa kitu Cha ajabu.
Harufu ipi kaka?Nanusa harufu mbaya hapa. Pole kwa kuyasema haya. Hata hivyo la kheri katika biashara yako, labda hii ya sasa italipa zaidi mkuu
Hyo area Ni inategemea umeweka wapi hyo business yako mkuuPole sana mkuu!!!Nadhani choice ya aina ya biashara, Mimi ninewekeza sh M7 kwenye kisteshenari changu napata faida ya laki 900,000 kwa mwezi,nawaza kununua mashine kubwa ya kuchapa mabango Mungu akinijaria uzima ndani ya miaka mitano ijayo, ambapo nimeulizia nikaambiwa mashine hiyo Ni zaidi ya 10M.
Hakika mtu akiniuliza biashara ipi inalipa Mimi nitamwambia steshenanari, hasara Ni ndogo Sana, na tena naweza sema Ni zero
Kweli aisee mkuu.Bora ulishtuka mapema mkuu, lazima uwe na uzoefu kununua magari ya mikononi mwa watu.
hii inawezekana kutegemea na aina ya biashara!Kuna motivational speaker atakuja hapa atakwambia 'mimi nipe mil 10 tu nakupa faida ya mil 3.5 kila mwezi"
Sasa mtu aingie kichwa kichwa kumuiga huyo jamaa.Siri ya urembo anaijua mwenyewe.Kuna mmoja yupo temeke nae nissan civilian kibao zake
Ah sorry mrembo sio kwamba nakucheka bwana wala kukubeza ni mshangao tuu kwamba biashara inakuwa ngumu mpaka mtaji wa 8m unaleta laki mojaInategemea ni biashara ipi na nimekwambia naendelea kujifunza. At least ungeniuliza maswali ya msingi ya kunijenga na sio kubeza hapa na kucheka cheka tuu.