Pambana sana Mkuu.Aisee mi kuna biashara nimeweka milioni 8 napata laki kwa mwezi faida sold ukiondoa mambo yote.... nimejisikia kinda kabisa kwako... hongera mkuu usikate tamaaa utapata returns nzuri be patient
Jamaa alitishaKulikua na mayor wa Tabora alikua anaitwa Ghulam Dewji alikua anamiliki Bodaboda 422(Mia nne ishirini na mbili) na zinaleta hesabu fresh,yaani hapo ndipo unajua kila mtu ana hesabu zake kichwani kwny mambo ya biashara.
Kuna mtu anamiliki pikipiki 1 tu lkn Kijana anamsumbua kuleta hesabu mpk anataka kuumwa pressure.
Usipende kudanganya watu mkuuKiuharisia biashara inahitaji roho ngumu aina. Ila kwa hiyo hela yako hupaswi kupata faida hiyo kwa mwezi. Kama ni hivyo ikusanye hiyo M.300 yote wekeza kwenye hisa za mabank. Kwa pesa hiyo utakuwa unapata return ya si chini ya Milioni 25 kila mwezi. Na hapo hakuna wa kumlipa,wala hakuna pressure hata kidogo. Unakula hiyo ukiwa umetulia tu nyumbani.
Naitamani sana hii biashara,siku nikipata tu mkwanja mrefu lazima nijitupie huko
Greda unalo ww tu watu wakodi kila siku300m unapaata gredar safi kabisa pale Mantrack, unaikodisha hukosi 10-12M kwa mwezi, bei ya kukodi ni 750k-800k per day
🤣🤣🤣Kuna motivational speaker atakuja hapa atakwambia 'mimi nipe mil 10 tu nakupa faida ya mil 3.5 kila mwezi"
Inaonekana majambazi wengi wapo kwenye hii industry ya madini eeh?Naona mwanzo tu. Kingine naona biashara yako ni risk free ungeingia kweny risk kubwa ungepata kikubwa mfano hyo pesa kweny madini unaweza kushika mara 3 kwa mwaka sema ni risk sana kuuziwa makapi ya madini au madini yaliyoungua na wajanja ,majambazi hata kuuliwa .
Ingependeza zaidi ungewafungua macho hao wasomi hali ya maisha ni ngumu sana.Wasomi chakarikeni kuna biashara mitaji midogo sana faida yakutosha tafuteni maarifa yalipojificha msipeane moyo vinginevyo hawa wasiosoma kila siku watawaacha mbali kwenye swala zima la kujiajiri.
Kweli mkuu,Mpk madiwani wenzake walipeleka kwny kamati ya maadili kwa kuto-declare hizo pikipiki anazozimiliki.Jamaa alitisha
Maana vijana wa bdbd zaidi ya 400 kukaa nao mkaelewana si mchezo
2008 - 1998 = 20 ???????Mwaka 1998 tulinunua Carina A60 kutoka Japan,CIF+Kodi za TRA Zilikua kwny Tsh.mil 4.
Mwaka 2008(miaka 20 mbele) hio Tsh. Mil 4 ningeweza nikaagiza Gari gani kutoka Japan+Ushuru wa TRA?
Kwan hawakuamini kama ni zake huyu jamaa si tajiriKweli mkuu,Mpk madiwani wenzake walipeleka kwny kamati ya maadili kwa kuto-declare hizo pikipiki anazozimiliki.
Kwanza unapata gela nyingi hizo. Kuna Boss aliweleza 20bn akawa anapata faida 200M kwa mwaka. Alipata presha.Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
Thnxs mkuu, nilimaanisha 2018.2008 - 1998 = 20 ???????
Jesus is Lord
Lori mkuu ili ikulipe endesha mwenyewe ila kumpa drive ni kichefuchefu balaaChallenge kwa kutupia uzoefu mkuu faida kwa wote..me mwenyewe najichanga nianze na scania 113 ya kuvua mtu [emoji16] niko kwenye hiyo circle naona tender zinavolipa..tupe uzoefu wako Boss [emoji120]!
Biashara zipo nyingi,inategemeaKama biashara gan,na mm nina kahela kangu hapa wala sielewei